Kwa maelezo ya DP ni kwamba mcheps wake yeye ilimradi tu uache hela mezani atakupa mbususu hadi uombe poo, ila usipoacha matumizi mbususu hupati na vichambo juu
Imagine mtu umesoma na una kipato chako cha kukutosheleza au hata una uwezo wa kujitegemea na kujisimamia katika mahitaji muhimu, unaweza kuingia kwa mahusiano na mume wa mtu bila kuangalia future ipo wapi? Sikatai kwamba kuna walioolewa na wapo kwenye mahusiano ya nje ila ni kwa ajili ya kujifurahisha na sio kuhudumiwa
Huyo mchepuko kwa sasa angetakiwa awe na maisha yake ya kujitegemea, i mean aweze kujisimamia, awe na mahusiano ambayo yana future ikiwezekana hata familia, ila shida ni kwamba anamtegemea DP kuanzia kula, kuvaa na kodi, na hatumii hata akili afungue japo hata biashara ndogo itakayomwezesha kujisimamia, na hata akifungua badi inafeli
Kwa mimi naona kama ni mtumwa wa ngono kwa DP kwa sababu kuna huduma anazipata, siku zikikatika atatafuta mwingine wa kumpatia hizo huduma...na utakua mfumo wake wa maisha
DP kama kweli anampenda huyo mwanamke, lazima amweleze ukweli kwamba anatakiwa kufocus kwenye future na aweze kujisimamia, pia aangalie namna ya kumwezesha kujitegemea na kufocus kwenye future yake kwa sababu mwisho wa siku yeye atarudi kwa mkewe na watoto na by then atakua ameshampotezea muda mwingi sana huyo binti na pengine atafika umri ambao hakuna anaetaka kumuoa kwa sababu ya umri mkubwa au sababu nyingine
Back to your point, sina scientific proof kwamba wenye akili sio wazuri kitandani..kuna wasio na akili na kitandani ni magogo kabisa, suala la mapenzi ni mawasiliano na maelewano kati ya couples, kila mmoja awe mwazi kwa mwenzie na kufundishana ili muweze kufurahia, unapoona mwenzio kuna jambo hakufanyii na unapenda kufanyiwa ni bora kumweleza na sio kukaa kimya na kutafuta mchepuko wa kukufanyia