Huyu mchepuko aambiwe ukweli au aachwe hivyo hivyo aendelee kujimwambafai?

Huyu mchepuko aambiwe ukweli au aachwe hivyo hivyo aendelee kujimwambafai?

Hii dunia hii ina mambo mengi, eti msomali kafia kwenye fiat dah hii sijui ndo inakuwaje?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mmh, basi watu mko vizuri. Six ejaculations kwa mara moja, wooi..akitoka hapo kesho hawezi kazi zake!
Na Tena wengine Wakitoka hapo kwenye 6goals wanakimbia mchaka mchaka kabisa[emoji4]
 
Kwa maelezo ya DP ni kwamba mcheps wake yeye ilimradi tu uache hela mezani atakupa mbususu hadi uombe poo, ila usipoacha matumizi mbususu hupati na vichambo juu

Imagine mtu umesoma na una kipato chako cha kukutosheleza au hata una uwezo wa kujitegemea na kujisimamia katika mahitaji muhimu, unaweza kuingia kwa mahusiano na mume wa mtu bila kuangalia future ipo wapi? Sikatai kwamba kuna walioolewa na wapo kwenye mahusiano ya nje ila ni kwa ajili ya kujifurahisha na sio kuhudumiwa

Huyo mchepuko kwa sasa angetakiwa awe na maisha yake ya kujitegemea, i mean aweze kujisimamia, awe na mahusiano ambayo yana future ikiwezekana hata familia, ila shida ni kwamba anamtegemea DP kuanzia kula, kuvaa na kodi, na hatumii hata akili afungue japo hata biashara ndogo itakayomwezesha kujisimamia, na hata akifungua badi inafeli

Kwa mimi naona kama ni mtumwa wa ngono kwa DP kwa sababu kuna huduma anazipata, siku zikikatika atatafuta mwingine wa kumpatia hizo huduma...na utakua mfumo wake wa maisha

DP kama kweli anampenda huyo mwanamke, lazima amweleze ukweli kwamba anatakiwa kufocus kwenye future na aweze kujisimamia, pia aangalie namna ya kumwezesha kujitegemea na kufocus kwenye future yake kwa sababu mwisho wa siku yeye atarudi kwa mkewe na watoto na by then atakua ameshampotezea muda mwingi sana huyo binti na pengine atafika umri ambao hakuna anaetaka kumuoa kwa sababu ya umri mkubwa au sababu nyingine

Back to your point, sina scientific proof kwamba wenye akili sio wazuri kitandani..kuna wasio na akili na kitandani ni magogo kabisa, suala la mapenzi ni mawasiliano na maelewano kati ya couples, kila mmoja awe mwazi kwa mwenzie na kufundishana ili muweze kufurahia, unapoona mwenzio kuna jambo hakufanyii na unapenda kufanyiwa ni bora kumweleza na sio kukaa kimya na kutafuta mchepuko wa kukufanyia
Nahs ujasoma vizur Uzi wangu ule wa mwanzo jins gani nilimpambania Sana future yake mchepuko uyu.

Hebu kaupitia pitia kwanza ule Uzi wa kwanza utapamajibu mengi ya post yako[emoji4]
 
Nahs ujasoma vizur Uzi wangu ule wa mwanzo jins gani nilimpambania Sana future yake mchepuko uyu.

Hebu kaupitia pitia kwanza ule Uzi wa kwanza utapamajibu mengi ya post yako[emoji4]
Nilisoma, ila sasa ndio hivyo biahsara zimemshinda na ukisema umuache leo hii mshahara wake ni mdogo haumtoshi ku survive, mchumba wake mwalimu ukamtimua,, wewe ni mtu mbad, inabidi umuoe tu hata kama sio wife material, kama humuoi mruhusu atafute husband wake
 
Mku kwa jinsi ulivyoelezea kungoaka hapo labda kibunda ikate la sivyo mkeo atakuwa hana nafasi kwenye mafanikio yako labda asubiri kipindi cha pili cha msoto.
 
Back
Top Bottom