Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msema kweli mpenz wa mungu, SIDHANI[emoji4]Sawa lakini km angekua kila siku kifo cha mende ungebakii
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Wala hamchokii mnasaidia kuziba pengo la uhaba wa me dunianTena tumechoka Sana[emoji4]
Hahaha special order sioHii Nadhan ilifinyangwa special kabisa kwa ajili yangu na sir God[emoji4]
Tatizo huaminiki. asijue wewe huna madhara. Ni kama me asee siaminiki kabisa mbele ya me za watu lakini ukweli me sina madhara kabisa.Ana hofu sana na sisi uyo[emoji4]
Najua ni ka mtandao ila nahisi mama J ashafanya imagination [emoji23][emoji23][emoji23]Ha ha ha...
Ka mtandaoni ako binamu[emoji3]
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] na ww ndo nini binamu. Halafu mwenyewe amekataa ujue..Binamu[emoji12]
Nahs ujasoma vizur Uzi wangu ule wa mwanzo jins gani nilimpambania Sana future yake mchepuko uyu.Kwa maelezo ya DP ni kwamba mcheps wake yeye ilimradi tu uache hela mezani atakupa mbususu hadi uombe poo, ila usipoacha matumizi mbususu hupati na vichambo juu
Imagine mtu umesoma na una kipato chako cha kukutosheleza au hata una uwezo wa kujitegemea na kujisimamia katika mahitaji muhimu, unaweza kuingia kwa mahusiano na mume wa mtu bila kuangalia future ipo wapi? Sikatai kwamba kuna walioolewa na wapo kwenye mahusiano ya nje ila ni kwa ajili ya kujifurahisha na sio kuhudumiwa
Huyo mchepuko kwa sasa angetakiwa awe na maisha yake ya kujitegemea, i mean aweze kujisimamia, awe na mahusiano ambayo yana future ikiwezekana hata familia, ila shida ni kwamba anamtegemea DP kuanzia kula, kuvaa na kodi, na hatumii hata akili afungue japo hata biashara ndogo itakayomwezesha kujisimamia, na hata akifungua badi inafeli
Kwa mimi naona kama ni mtumwa wa ngono kwa DP kwa sababu kuna huduma anazipata, siku zikikatika atatafuta mwingine wa kumpatia hizo huduma...na utakua mfumo wake wa maisha
DP kama kweli anampenda huyo mwanamke, lazima amweleze ukweli kwamba anatakiwa kufocus kwenye future na aweze kujisimamia, pia aangalie namna ya kumwezesha kujitegemea na kufocus kwenye future yake kwa sababu mwisho wa siku yeye atarudi kwa mkewe na watoto na by then atakua ameshampotezea muda mwingi sana huyo binti na pengine atafika umri ambao hakuna anaetaka kumuoa kwa sababu ya umri mkubwa au sababu nyingine
Back to your point, sina scientific proof kwamba wenye akili sio wazuri kitandani..kuna wasio na akili na kitandani ni magogo kabisa, suala la mapenzi ni mawasiliano na maelewano kati ya couples, kila mmoja awe mwazi kwa mwenzie na kufundishana ili muweze kufurahia, unapoona mwenzio kuna jambo hakufanyii na unapenda kufanyiwa ni bora kumweleza na sio kukaa kimya na kutafuta mchepuko wa kukufanyia
Nilisoma, ila sasa ndio hivyo biahsara zimemshinda na ukisema umuache leo hii mshahara wake ni mdogo haumtoshi ku survive, mchumba wake mwalimu ukamtimua,, wewe ni mtu mbad, inabidi umuoe tu hata kama sio wife material, kama humuoi mruhusu atafute husband wakeNahs ujasoma vizur Uzi wangu ule wa mwanzo jins gani nilimpambania Sana future yake mchepuko uyu.
Hebu kaupitia pitia kwanza ule Uzi wa kwanza utapamajibu mengi ya post yako[emoji4]
Kuna yule manzi alisema anataka msada ndo nilimsemea ukamuokoe bwana na sio mimiKiapo Cha undugu Mimi na wewe[emoji4]