Huyu mchepuko aambiwe ukweli au aachwe hivyo hivyo aendelee kujimwambafai?

Achana nao bwana... ndo maana nkamuuliza watu 8 kwamba huwa anatatizo la kuamini watu?? Maana yeye nahisi hizi ni kamba...lakini pia tumekubali kupigwa kamba
 
Achana nao bwana... ndo maana nkamuuliza watu 8 kwamba huwa anatatizo la kuamini watu?? Maana yeye nahisi hizi ni kamba...lakini pia tumekubali kupigwa kamba
Uyo Watu8 mzoee TU hivyo hivyo.
Ni mtani wangu Sana kwenye zile nyuzi za siasa.

Hizi nyuzi za kawaida,
Yeye kila Uzi kwake huwa Ni kamba na Cha ti, NADHAN siasa zimeshamharibu.

Kuna mdau mmoja humu jf aliwahi mwambia kua ana akili za kichadema sana, yaan yeye kila kitu kwake ni kupinga TU[emoji4]
 
@Watu8 umekimbia eehh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…