Huyu mchepuko aambiwe ukweli au aachwe hivyo hivyo aendelee kujimwambafai?

Hii ni balaa tena hatari sana mwamba acha mambo hayo. Huku ni kuchezea shilingi chooni ( uhai)
 
Mi mwnyw za kwangu nazionea kinyaa kuzimeza,naishia kuzitaste TU.

Ila Yeye anameza, Afu Anatabasamu kana kwamba ndo anaenjoy kabisa[emoji4]
Ni mzoefu sana wa hayo mambo na kapitia mwingi sio rahisi asiye jua hayo kwa undani kufanya hayo, ila starehe yake anakuhamisha kwenye ndoa yako, angalia usije umbuka mchana kweupe [emoji23][emoji23]
 
Kaahh;anajiweza mnoo!Mimi huyu mume Yuko ndaani!hata tukiwa na ugomvi aseehh!vikojolea havihusiani!ubusy kwiooo!!!ndo tunafeli hapo wanawake sasa!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Sasa uwe na Mme mwenye kujielewa lakini watoto wa mama wanajua kununa hao ukute ana midevu kama mizizi ya bangi halafu kanuna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] {utazani bangi yenyewe naijua}.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…