Huyu mchepuko aambiwe ukweli au aachwe hivyo hivyo aendelee kujimwambafai?

Huyu mchepuko aambiwe ukweli au aachwe hivyo hivyo aendelee kujimwambafai?

Kwa mwili ule kuzeeka Ni majaaliwa,, sio mnene wala mwembamba hazeeki leo, ana body kinanda sana unaweza kukabeba unakatafuna huku unazunguka nyumba nzima[emoji23][emoji23]ningekuwa dume miiiimi
Yaani wanawake mnavyo tamani kua wanaume [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
Sema we nae unampenda sana huyo mwanamke...manake mshagimbana mshazinguana ila bado unarudiana....Kilichobaki atakuja kukuua bure kwa tamaa za mali.....Focus on your family bro...umepoteza pesa nyingi na muda wa kutosha kisa binadamu asiye na shukrani....



mi naona kabisa we na yule Mzee aliyeletaga story za nyumba ndogo humu inavyomtesa hamna tofauti...
Usiombe yakukute.

Inafikia hatua najua kweli kuishi na uyu mchepuko Ni degree tosha.
 
Sema we nae unampenda sana huyo mwanamke...manake mshagimbana mshazinguana ila bado unarudiana....Kilichobaki atakuja kukuua bure kwa tamaa za mali.....Focus on your family bro...umepoteza pesa nyingi na muda wa kutosha kisa binadamu asiye na shukrani....



mi naona kabisa we na yule Mzee aliyeletaga story za nyumba ndogo humu inavyomtesa hamna tofauti...
Pacha Pa kunoga unapajua? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu tuliza ball kwan, pale kati patamu bhana, au unajisahaulisha.
 
Yaan sahivi niko huru tena mwepesi, ila kna mtu ameoneshwa mambo had anatetema km cranes mbovu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shubaaamiti!! Kuna mchepuko niliwahi kuuambia ukininyima mbususu nakuacha hakuamini siku alinipimia eti kanipa kamoja tu amechoka hataki tena. Ndipo alipo jua mimi napenda nini kwake akaona nimechuna 1 week kwanini asinitafute. Nikamwambia nishakuonya sitaki upuuzi wako mara baby sitarudia nikaenda nikawa najitombea tu bila shida
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
true love & good sex... huwezi kuvipata vyote sehem moja,
kongole kwa waliopitisha ndoa za wake wengi wengi hii inasaidia kupata vyote kiuhalali
 
Unajua uyu mwanamke hata simpendi kivile Kama nnavompenda wife wang, ndo maana akizingua Namimi namzingua vile vile.

Sema kwenye suala la sex nmeshindwa kabisa kumpata mbadala wake.

She's very special in this area.
Sijui hata nielezeje niweze eleweka mkuu.

Kuna MDA namzingua kwelikweli na nasema apa tunaachana, ila nnapokua na nyege mtu wa kwanza kumuwazia Ni yeye.

Ndo maana Kuna MDA kweli naona napoteza Sana pesa&muda sn kwake,

ila akili inanambia nichukulie POA TU maana sijapata bado mbadala wake.
Ila Akipatikana mi napiga chini fasta.

Ngoja niendelee kukimbizana na uyu uyu msumbufu wangu mkuu, tutanyooshana hivo hivo mpk kitakapoeleweka uko mbele ya Safar.
'Uwe tuu unatuletea mrejesho.
 
Yani jamaa unaingia cost za kipuuzi puuzi sana kisa nyege ila mwisho wako mbaya sana ww jamaa.
 
Back
Top Bottom