Huyu mchepuko aambiwe ukweli au aachwe hivyo hivyo aendelee kujimwambafai?

Kwa mwili ule kuzeeka Ni majaaliwa,, sio mnene wala mwembamba hazeeki leo, ana body kinanda sana unaweza kukabeba unakatafuna huku unazunguka nyumba nzima[emoji23][emoji23]ningekuwa dume miiiimi
Yaani wanawake mnavyo tamani kua wanaume [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
Sema we nae unampenda sana huyo mwanamke...manake mshagimbana mshazinguana ila bado unarudiana....Kilichobaki atakuja kukuua bure kwa tamaa za mali.....Focus on your family bro...umepoteza pesa nyingi na muda wa kutosha kisa binadamu asiye na shukrani....



mi naona kabisa we na yule Mzee aliyeletaga story za nyumba ndogo humu inavyomtesa hamna tofauti...
Usiombe yakukute.

Inafikia hatua najua kweli kuishi na uyu mchepuko Ni degree tosha.
 
Pacha Pa kunoga unapajua? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu tuliza ball kwan, pale kati patamu bhana, au unajisahaulisha.
 
Yaan sahivi niko huru tena mwepesi, ila kna mtu ameoneshwa mambo had anatetema km cranes mbovu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
true love & good sex... huwezi kuvipata vyote sehem moja,
kongole kwa waliopitisha ndoa za wake wengi wengi hii inasaidia kupata vyote kiuhalali
 
'Uwe tuu unatuletea mrejesho.
 
Yani jamaa unaingia cost za kipuuzi puuzi sana kisa nyege ila mwisho wako mbaya sana ww jamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…