Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukran Sana kwa USHAUR na uchambuz murua KABISA mkuu[emoji120]Pia naweza kusema kuwa huyo mwanamke si mwanamke wa kutengeneza nae maisha...wapo MICHEPUKO inajielewa nini maana ya MAISHA. Ila huyo yupo kwa ajili ya kukutumia.
Hapo alipofikia uamuzi utakaoutumia ni kama ule wa mwanzo ,kumtia adabu...ila mwisho atakuja kukulilia na utamsamehe na mtarudisha tena mahusiano....ili kusitisha hili gurudumu nakushauri kuwa mkatae mazima....yeye kamwaga mboga wewe unabeba ugali unasepa nao mboga utaipata mbele ya safari. Achana nae mkuu , ume invest vya kutosha ila ROI ( Return of investment) hakuna ni zero, null, sufri,Nada....empty.
Huyo mwanamke akili yake haiko sawa , infact wanawake wengi tunaishi nao ila wana upungufu mkubwa wa akili na kufanya maamuzi, atakupasua kichwa...achana nae mazima ulivyowekeza kwake fanya kama umevigawa sadaka tu..hutegemei malipo yoyote. Malizia ujenzi wa pagala lako lipangishe chukua kodi....tafuta MCHEPUKO UNAOIJIELEWA maana nikikwambia ukomae na MKE WAKO jambo hilo ni gumu kwako...huenda mke wako hakuridhishi sana kiufundi kitandani tofauti na anayokupa MCHEPUKO.
Kuendelea na mdogo wake sio jambo lenye afya njema maana unakuwa bado unaendelea kumhudumia dada mtu. So ni yale yale....
Break this viscious cycle ....anza upya !!! Huenda pia mkuu ulishatengenezwa na huyo mwanamke kiasi akili yako hairuki kwake au inatokana pia umeshakunywa maji maji ya uchi wake hii ni sumu sana cuz wanawake huwa wana harufu fulani ya uchi ambayo ukiinasa tu basi wanawake wengine wote utawaona kama takataka tu...ni ngumu sana kumuacha mwanamke wa aina hiyo hata kama itakuja utamfumania ila bado ile harufu ukikaa muda mrefu bila kuipata tu unaanza kuimiss na unamtafuta muyakumbushie upya
Bora ww mkuu mi nilishafikia stage na sex na mtu ule mda wote tunafika mshindo nikamtaja msichana mwengine ni kisanga afu walikua marafikiYaan ujue mkuu kuna mda nlikua onja onja kutafta mbadala wake ila nikashindwa.
Kuna ile Hali unajikuta unasex na mwanamke mwngine afu unajikuta hauenjoy kabisa ile moment.
Unajikuta unammiss Katikati ya tendo, sometimes hata bao kupiga Lazima utengeneze picha yake kichwani kua uko na yeye ndo nikojoe.
Kuna vitu ukisema watasema nimerogwa, ila ukweli yapo na yanatukuta wanaume wengi Sana.
Dah! Nilikua sifahamu ilo mkuu [emoji848]OGOPA SANA HIVI VITU VIWILI KWA MWANAMKE
1-MACHOZI YAKE
2-HARUFU YA UCHI (MWILI) WAKE
Hivi vitu viwili ni hatari sana mwanamke akishajua kuvitumia kwako ujue umeisha, huruki na hutafurukuta juu yake. Wanaume ni viumbe tulioumbwa na huruma sana , hatuwezi kuyavumilia machozi ya mwanamke yakadondoka hivi hivi ni lazima tunajawa na huruma...inahitaji uwe katili sana kuyakataa machozi ya mwanamke.
2- HARUFU YA UCHI ( MWILI ) WAKE
Mwanamke ukishakaa nae muda mrefu katika mahusiano kuna kitu kinaitwa HARUFU...kila mwanaadamu kaumbwa ana harufu yake . Wadudu huwa wana kitu kinaitwa pheromones...Ni aina fulani ya harufu ambayo inamshawishi dume kumfata jike kwa ajili ya mating....Vivyo hivyo wanawake wanayo hii kimaumbile ndio chanzo kikubwa cha kutengeneza bond baina ya mwanamke na mwanaume...Unakuta mtu analalamika daily kuwa mkewe ni pasua kichwa na washkaji zake wanamshauri kuwa mpige chini ili akimkataa siku mbili tu ..ya tatu kashaanza kummiss mara wanarudiana tena...Hii harufu ndio huwa kivutio kikubwa kwa mwanamke kwenda kwa mwanaume...ikishatengeneza bond baina yenu ni ngumu sana kuivunja.
Afu ungejua mkuu,Ila huyo mchepuka anajua umedata kwake na you will never walk away ndio maana anapata ujasiri wa kukudrig anavyotaka na bado unarudi
Tena huyo hutamuacha mpaka siku akupige tukio na bado utarudi tu kwake
Usicheze na Nguvu ya sex mkuu,Bora ww mkuu mi nilishafikia stage na sex na mtu ule mda wote tunafika mshindo nikamtaja msichana mwengine ni kisanga afu walikua marafiki
Hahaha ila ni ngumu sana kuwaelewa wanaume, just papuchi ambayo hata kwa mkeo unaipataAfu ungejua mkuu,
Uyu mchepuko ata moyoni hayupo KABISA.
Ni vile TU namiss sana mambo yake kitandani, otherwise ningeshampiga chini MDA Sana.
Yaan kuna MDA nawaza kwamba,
Uyu mwanamke Ile papuchi yake ikiondoka tu, sidhan Kama ana kingine cha kuoffer kwenye aya mahusiano yetu.
Mkuu usijidanganye kuwa hayupo moyoni...Kiufupi huyo YUPO MOYONI. Yaani kuna strong natural bond kati yenu. Ukitaka uni proove wrong jaribu kukaa miezi mitatu mbali nae toka sasa mlivyogombana tena uone kitakachotokea...humalizi 3months mtakuwa mshatafutana na mmerudiana upya. Yaani ndio system ya mahusiano yenu ....tunaita intermitent relationship...ni mahusiano yanayoenda kwa vipindi fulani mnapitia series za break up...yaani hayajanyooka ila ndio mahusiano yenu yalivyo.Afu ungejua mkuu,
Uyu mchepuko ata moyoni hayupo KABISA.
Ni vile TU namiss sana mambo yake kitandani, otherwise ningeshampiga chini MDA Sana.
Yaan kuna MDA nawaza kwamba,
Uyu mwanamke Ile papuchi yake ikiondoka tu, sidhan Kama ana kingine cha kuoffer kwenye aya mahusiano yetu.
Uyu kumuoa haiwezekani kabisa,Wanawake hawawawezi kuficha mahusiano...mwanaume unaweza kudate na mwanamke mtaa mmoja na hakuna kiumbe kitajua zaidi yako na Mungu wako ila mwanamke hawezi hili atamwambia japo rafiki yake na muda unavyozidi atataka azidi kujionesha kuwa anamilikiwa na nani...
Hivyohivyo kwa huyo shemeji yako unayemnyandua kisirisiri ,hataweza kuvumilia kwa muda mrefu ni lazima na yeye atataka AJULIKANE, hapo ndio bomu litakavyozidi kuwa kubwa .
Mi nilichoona ni kuwa ww kuachana nae huyo mwanamke ni ngumu , kikubwa yajue madhaifu yake na uendele kuyavumilia...akisema achana nae, MKAUSHIE na akishapigika akikutafuta , RUDIANA nae pima nae afya muanze moja. Pamoja na kiburi hicho inaonesha pia licha ya huyo mwanamke kukutumia kimaslahi bado unaonekana hakuna aliyetokea KUMKUNA au KUMKOJOZA kama unavyofanya wewe. So ikitokea upo nae mbali anakumiss sana.
Kiufupi ni kuwa pindi mnapokutana MNAPEANA SHOO ZA KIBABE SANA ila tatizo lipo kwenye TABIA.
Ungekuwa muislam ningekushauri kuwa UMUOE tu. Ukiona umemshindwa adui wako basi ungana nae tu.
Papuchi ziko tofauti Sana dada angu.Hahaha ila ni ngumu sana kuwaelewa wanaume, just papuchi ambayo hata kwa mkeo unaipata
Mwisho wa siku angalia na future yake, usije kumpotezea muda wakati huna mpango wa kumuoa au kuanzisha nae familia
Akiwa na mahusiano yake mengine usimuharibie maana wewe huwezi kuwa mune wake
PAPUCHI zinatofautiana kiwango cha joto,utelezi na utamu...yaani hapa ndio maajabu yalipo kuna wanawake ni wabaridi naturally, kuna wanawake ni wa moto...halafu kuna hawa wenye combination ni wa moto, wana utelezi mzuri yaani unapiga shoo mwanzo mpk mwisho utelezi uko vilevile halafu wanayajua mahaba yaani kitandani sio wavivu...ukimpata mwanamke wa dizaini hiyo humuachi hata kama akiwa KAHABAHahaha ila ni ngumu sana kuwaelewa wanaume, just papuchi ambayo hata kwa mkeo unaipata
Mwisho wa siku angalia na future yake, usije kumpotezea muda wakati huna mpango wa kumuoa au kuanzisha nae familia
Akiwa na mahusiano yake mengine usimuharibie maana wewe huwezi kuwa mune wake
Future nlokua naitengeneza kwake Ni kumtengenezea mazingira na yeye afurahie kua kwenye mahusiano na Mimi. Asijione Ni sex tool TU kwangu na hafaidiki chochote.Hahaha ila ni ngumu sana kuwaelewa wanaume, just papuchi ambayo hata kwa mkeo unaipata
Mwisho wa siku angalia na future yake, usije kumpotezea muda wakati huna mpango wa kumuoa au kuanzisha nae familia
Akiwa na mahusiano yake mengine usimuharibie maana wewe huwezi kuwa mune wake
Unajua kufinyiwa kwa ndani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanaume na akili zake timamu hawezi Kuishi na mwanamke wa aina hiyo,
Mwache aendelee kumuigizia kumuachisha kazi nk.lakini hapa mwisho siyo mzuri kabisa
Atakuja alee mtoto asiye wake
Na mchepuko ukijua katoka na mdoho wake[emoji3]yaani wataungana dada na dogo kummaliza kabisa,,,,kwa hilo wala hajamkomoa maana hapendwi yeye,zinapendwa pesa zake.
Watu wengi Sana hawajui ilo mkuu.PAPUCHI zinatofautiana kiwango cha joto,utelezi na utamu...yaani hapa ndio maajabu yalipo kuna wanawake ni wabaridi naturally, kuna wanawake ni wa moto...halafu kuna hawa wenye combination ni wa moto, wana utelezi mzuri yaani unapiga shoo mwanzo mpk mwisho utelezi uko vilevile halafu wanayajua mahaba yaani kitandani sio wavivu...ukimpata mwanamke wa dizaini hiyo humuachi hata kama akiwa KAHABA