Dada angu
mahondaw
Kwa hisani ya mkuu
Tipstipstor.
Jamaa kanielewa vizur Sana[emoji4][emoji116]
Pond kama Pond.... Mwana nakukubali sana kwa uandishi uliotukuka hiyo ni story inayotosha kutengenezewa movie kabisa...yaani nasoma huku taswira inajijenga akilini.
Ushauri wangu ni hivi nilichogundua huyo mwanamke ni malaya tu kama malaya wengine...tunawaita ni gold digger. She only needs you to solve her problems ila mapenzi ya kweli na wewe hana ..na kikubwa kinachokuponza ni HURUMA NA NYEGE....Nothing else!!!
Ukiwa na pesa unagombana nae....mnakaushiana ila unarudisha majeshi baada ya mwanamke kumwaga MACHOZI.. Hapa unaingia huruma na pia NYEGE zako zinakupeleka umgegede upya na hapo mnarudisha mahusiano.
Ukiwa "huna pesa" au umepunguza huduma kwake , mwanamke ANAKUKATAA ,ANAKUBEZA na KUKUKASHIFU....Solution unayoona hapa ni kumuharibia mitikasi yake ili umrudishe katika msoto ambao mwisho wake anarudi tena kutoa MACHOZI..hapa HURUMA inakurudia tena na kutokana umemiss shoo zake NYEGE zinakurudisha kuanza nae mahusiano yenu upya.
Kiufupi hii ni Viscious cycle ya SHIDA,HURUMA na NYEGE....hakuna mapenzi baina yenu ila mpo kwa ajili ya mutual benefits...yaani wewe umtatulie matatizo yake ya kiuchumi na wewe akutatulie shida zako za kimwili ila MAPENZI na HURUMA baina yenu HAKUNA.
Kikubwa brother Pond wewe endelea kupambana na janga lako...umeshalichuma huna budi kulila peke yako.
Kikubwa wanaume huwa tunapenda maisha ya changamoto...ukiwa huna changamoto za kiuchumi basi utatafuta changamoto za kimapenzi.
Pia wengi tunaenda nje ya title au ushauri aliouomba mleta uzi. Wengi tunajibu tofauti na tulivyoulizwa, Mleta uzi hajasema kuwa anaomba ushauri aachane na mchepuko wake. Alichotaka ni tumshauri aupe taarifa mchepuko wake kuwa anatoka na shemeji yake au laa ?
Mi jibu ni moja tu USIMWAMBIE , Wewe endelea kuzichakata zote mbili kwa nyakati tofauti.Mdogo mtu anaonekana kuwa anajielewa na hii inaonekana kiwango chake cha elimu kipo juu kuliko dada yake. So anajielewa na anaweza kuendelea kuficha mahusiano yake na yako ila za mwizi ni arobaini , either zikutwe sms zako kwenye simu ya mdogo wake au MIMBA ije iwaumbue..
Nawasilisha.