Huyu mchepuko aambiwe ukweli au aachwe hivyo hivyo aendelee kujimwambafai?

Huyu mchepuko aambiwe ukweli au aachwe hivyo hivyo aendelee kujimwambafai?

Basi Mwanamke yule akanitafuta anagomba kwann nmefanya vile, nmemdharau sana, nmeona ela yake hainathaman, sio utu ule yeye kachangia kwa Nia njema maana ananipenda. Nkamwambia tutayazungumza nikisharudi. Nikakata sim.

Sasa kwa bahat mbaya nilivoenda kupakia, nkakuta Bei za vitu zimepanda Sana uko. Ikabd Ile bajet nlotenga kununulia material za ujenz niongeze nichukue mzigo wa duka Kama nilivopanga. Nkasema huu ujenz upo ntaendelea nao baadae. Nizungushe kwanza. Afu vitu vingine nkavikosa vya muhimu nkavikosa ikabid nirudi baada ya siku 5 tu badala ya wiki 2 Kama nilivopanga awali.

Sasa Nilivorudi nkakuta mwenzangu kanuna, Basi ukawa mzozo akilalamika kwann nmeukataa mchanga wake. Yakawa Kama yameisha.
Tukasex kisha nikaondoka bila KUACHA posho ya meza.

Baada ya siku 2 Tena nkaenda kusex nae, Kisha nkaondoka bila KUACHA posho ya meza.
Ile natoka mlangoni Akanivuta kusema
"Hivi wee Mwanaume unanichukuliaje Mimi? Umeniona mi takataka Sana sio?"

Nkauliza "kwann?"

Akasema "Yaan unakuja,unaondoka TU hata ela ya kula huachi.
Kwenye Ujenzi nako sikuelewi elewi naona umerudi ila Sioni material wala ukiendeleza ujenzi
Ilianza unatoa elfu 15, ukaja elfu 5, sikuhizi naona huachi KABISA.
Hivi wee unahisi mi naishije hapa ndani? Au nimekua jini Mimi?"

Nikawa nimecheka nikamwambia
"kwani Maneno yote Ayo yanatoka wapi mpnz wang, wee sinilishakuachia Ela ya kula wiki 2? , leo wiki ya pili ndo imeanza unaniombaje Ela sasa?"

Akasema,
"Unaemchekea Nani,hapa utoki Lazima unaichie Ela..." Uku ananisachi.

Nikawa namtoa hatoki anaendelea kunikagua mifukoni, nikona uyu mpumbavu.
Nikamziba Kofi, akaiachia suruali yangu.

Nikamwambia,
"ukome na uwe na adabu unapokua unaongea na mm, tabia ya kunisachi Ni ya kimalaya na ife Mara Mona. Usije unarudia huo upuuzi Tena"

Basi nikaondoka zangu.
Sasa kesho yake Sina hili Wala Lile wakapitishwa samaki wazur Sana dukan kwangu.
Nikanunua mafungu mawili, moja likapelekwa kwangu jingine nikamtuma bodaboda wake ampeleke mchepuko kwake.

Basi baadae boda Akanambia kafikisha mzigo, ikabd Nimpigie kumjulisha achukue samak mmoja anichemshie supu jion ntapitia kunywa. Akawa hapokei.
Basi nikamtumia sms.

Ile jion nikapitia kwake kunywa supu yangu, Ila nafika nagonga akaja mlangon akasimama wima.

Akasema,
"Eeh baba wee, ishia uko. Ukitaka kuingia nyumba hii tekeleza nnayoyataka"

Nkamuuliza "yapi Ayo"
Akasema
" kwanza-uwe unanipa elfu 20 yakula kila siku
Pili- unimalizie ile nyumba ndani ya mwezi huu
Tatu- uweke zamu yakulala kwangu.
Huwez kutekeleza Ayo Basi ISHIA HAPO HAPO NJE"

Nkamwambia "sawa"

AkAuliza
"Iyo sawa maana ake Nini, afu ilo jibu lako silipendi linanikera Sana"

Nkamwambia ,
"Sawa maana ake siwez kutelekeza Ayo unayoyahitaji kwa Sasa"

Akasema "aya, ishia huko huko. Wako wanaume wengi sana Kama wewe wanaoweza kutimiza nnayoyahitaji"

Nkamwambia "sawa wakakutimizie Basi"

Akasema " akarud ndan na kufunga mlango wake"

Sasa,
Nikabaki pale nje nimeduwaa, maswali mengi kichwani. Kisha nikaenda zangu nyumbani.

Ni siku ya 5 Sasa karudi kwenye ule utaratibu wake w zamani wa kurusha vijembe status,

Naziona status zake kibao kila Mara, nabaki najiuliza.

[emoji117]Hivi uyu mwanamke ananichukuliaje kwanza?[emoji848]
[emoji117]Hivi anajiona special Sana eeh?[emoji848]
[emoji117]Hivi anajua kua hapo anapokaa Kodi anahamia nmelipia mm?[emoji848]
[emoji117]Hivi anajua Apo anapojimwambafai nishapita na mdg wake?[emoji848]
[emoji117]Hivi anajua kwamba Apo anapofanya kazi yupo kwa mgongo wangu mimi[emoji848]
[emoji117]Au nimuundie zengwe Tena ahangaike na Dunia ili akili imkae[emoji848]

Wakuu mnisaidieni
Je, NIMWAMBIE UKWELI AU NIMUACHE AENDEEE KUJIMWAMBAFAI[emoji848]

Mwisho
Usimwambie ukweli kaka. Halafu hiyo nyumba unayojenga wakulungwa hatujakuelewa. Ni kwamba umemjengea yeye au unajenga nyumba yako Kwa majina yako halafu yeye anakaa Tu?
 
Usimwambie ukweli kaka. Halafu hiyo nyumba unayojenga wakulungwa hatujakuelewa. Ni kwamba umemjengea yeye au unajenga nyumba yako Kwa majina yako halafu yeye anakaa Tu?
Plan Ni yeye akae TU,
Documents zote Ni kwa jina langu[emoji4]
 
Ana camel toe, ana utelezi mwingi ana maji lazima unase rafiki yangu, pole nimesoma yote hadi kulowana, unaonekana mbabe sana wewe juu ya kitanda

Ushauri wangu achana na huyo mchepuko atakuharibia sana pole rafiki
Be realistic mkuu anaanzaje kumuacha? Hawezi kumuacha
 
Be realistic mkuu anaanzaje kumuacha? Hawezi kumuacha
Kwakweli kumuacha labda mungu aingilie Kati.
Kile kidude kinyofolewe pale katikati kikatupwe mbali kule[emoji4]
 
Kuna akili inaniambia hii ni chai tu, tafuta chapati mbili kabla haijapoa...

Kuna akili inaniambia hii ni kisa cha kweli, kwa jinsi ulivyokisimulia...

Sasa iwe kweli au chai, mkuu usitumie kichwa kufugia nywele tu...
Mkuu we Chadema nn? Kila kitu unahisi umepigwa.
 
Mnyooshe lakini usimwambie kama umemla dogo lake[emoji23]
Wengi hapa wamenishaur hivo, ntakeep Hii secret.

Maana nmeona itakuja mletea madhara pia Dogo mwyw, kimahusiano na dada ake.

Maana ake Ntakua Kama nmetia doa flan la mgogoro kwny familia yao[emoji4]
 
Wengi hapa wamenishaur hivo, ntakeep Hii secret.

Maana nmeona itakuja mletea madhara pia Dogo mwyw, kimahusiano na dada ake.

Maana ake Ntakua Kama nmetia doa flan la mgogoro kwny familia yao[emoji4]
Ni kweli utakuwa utata mkubwa,dogo atakuwa katika wakati mgumu
 
Mkuu we Chadema nn? Kila kitu unahisi umepigwa.
[emoji1787][emoji1787]Nmemkumbuka marehem jpm akiwalaumu chadema.

Eti wao kila kitu Ni kupinga, Hadi bajeti ya maji nayo wanaipinga.

Afu maji yasipopelekwa wanailaumu serikali haijapeleka maji kwa wananchi wake.
 
Back
Top Bottom