DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
- Thread starter
- #581
Nmecheka Sana hapo kwenye "mtura"[emoji1787]Eti mtura ...hehe nyie jf kuna lugha hukuu...
DeepPond umesoma hapa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nmecheka Sana hapo kwenye "mtura"[emoji1787]Eti mtura ...hehe nyie jf kuna lugha hukuu...
DeepPond umesoma hapa?
Ni Kias TU,Mkuu huo aukua ushauri wa kijinga, walipiga hela awa jamaa
Huyu mwanamke ni mfupi? Maana hao ni ving'ang'anizi na hawachelewi kuomba msamahaUmeona mkuu,
yaan Sijui wanataka mpk wafanyiwe Nini[emoji848]
Ukiingiaga kutoka yataka moyo, japo jamaa naye amezidiIla wanaume mhh kiboko aisee!!! Achana nae stress akupe mkeo bwana sio mchepuko, halafu mchepuko unakudanga tu wala hakupendi ukisikia mtu kitu ndio huyo sasa... ila Jamani hujionei huruma kweli mbona majukumu mengi hivyo.. hebu waache basi
Sawa lakini mkuu awa wanawke sio wa kuwalegezea sana hususani huyu inatakiwa lile deni wangelipa lote kabisa usinge sameheNi Kias TU,
Pale Cha muhimu Lengo lilitimia, nafs yang ikasuuzika na heshima ikarudi kwa msoto ule[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kijana, mshahara wa dhambi ni mauti; mauti inaweza kuwa kwako, kwa mkeo au mchepuko wako. Hebu jaribu kupitia gharama ambazo umeshaingia kwa ajili ya huyo mchepuko, mkeo, watoto na nduguzo wanaotegemea msaada wako, umewagharimu kiasi gani. Umeoiteza muda, pesa na mahusiano. TAFAKARI.Basi Mwanamke yule akanitafuta anagomba kwann nmefanya vile, nmemdharau sana, nmeona ela yake hainathaman, sio utu ule yeye kachangia kwa Nia njema maana ananipenda. Nkamwambia tutayazungumza nikisharudi. Nikakata sim.
Sasa kwa bahat mbaya nilivoenda kupakia, nkakuta Bei za vitu zimepanda Sana uko. Ikabd Ile bajet nlotenga kununulia material za ujenz niongeze nichukue mzigo wa duka Kama nilivopanga. Nkasema huu ujenz upo ntaendelea nao baadae. Nizungushe kwanza. Afu vitu vingine nkavikosa vya muhimu nkavikosa ikabid nirudi baada ya siku 5 tu badala ya wiki 2 Kama nilivopanga awali.
Sasa Nilivorudi nkakuta mwenzangu kanuna, Basi ukawa mzozo akilalamika kwann nmeukataa mchanga wake. Yakawa Kama yameisha.
Tukasex kisha nikaondoka bila KUACHA posho ya meza.
Baada ya siku 2 Tena nkaenda kusex nae, Kisha nkaondoka bila KUACHA posho ya meza.
Ile natoka mlangoni Akanivuta kusema
"Hivi wee Mwanaume unanichukuliaje Mimi? Umeniona mi takataka Sana sio?"
Nkauliza "kwann?"
Akasema "Yaan unakuja,unaondoka TU hata ela ya kula huachi.
Kwenye Ujenzi nako sikuelewi elewi naona umerudi ila Sioni material wala ukiendeleza ujenzi
Ilianza unatoa elfu 15, ukaja elfu 5, sikuhizi naona huachi KABISA.
Hivi wee unahisi mi naishije hapa ndani? Au nimekua jini Mimi?"
Nikawa nimecheka nikamwambia
"kwani Maneno yote Ayo yanatoka wapi mpnz wang, wee sinilishakuachia Ela ya kula wiki 2? , leo wiki ya pili ndo imeanza unaniombaje Ela sasa?"
Akasema,
"Unaemchekea Nani,hapa utoki Lazima unaichie Ela..." Uku ananisachi.
Nikawa namtoa hatoki anaendelea kunikagua mifukoni, nikona uyu mpumbavu.
Nikamziba Kofi, akaiachia suruali yangu.
Nikamwambia,
"ukome na uwe na adabu unapokua unaongea na mm, tabia ya kunisachi Ni ya kimalaya na ife Mara Mona. Usije unarudia huo upuuzi Tena"
Basi nikaondoka zangu.
Sasa kesho yake Sina hili Wala Lile wakapitishwa samaki wazur Sana dukan kwangu.
Nikanunua mafungu mawili, moja likapelekwa kwangu jingine nikamtuma bodaboda wake ampeleke mchepuko kwake.
Basi baadae boda Akanambia kafikisha mzigo, ikabd Nimpigie kumjulisha achukue samak mmoja anichemshie supu jion ntapitia kunywa. Akawa hapokei.
Basi nikamtumia sms.
Ile jion nikapitia kwake kunywa supu yangu, Ila nafika nagonga akaja mlangon akasimama wima.
Akasema,
"Eeh baba wee, ishia uko. Ukitaka kuingia nyumba hii tekeleza nnayoyataka"
Nkamuuliza "yapi Ayo"
Akasema
" kwanza-uwe unanipa elfu 20 yakula kila siku
Pili- unimalizie ile nyumba ndani ya mwezi huu
Tatu- uweke zamu yakulala kwangu.
Huwez kutekeleza Ayo Basi ISHIA HAPO HAPO NJE"
Nkamwambia "sawa"
AkAuliza
"Iyo sawa maana ake Nini, afu ilo jibu lako silipendi linanikera Sana"
Nkamwambia ,
"Sawa maana ake siwez kutelekeza Ayo unayoyahitaji kwa Sasa"
Akasema "aya, ishia huko huko. Wako wanaume wengi sana Kama wewe wanaoweza kutimiza nnayoyahitaji"
Nkamwambia "sawa wakakutimizie Basi"
Akasema " akarud ndan na kufunga mlango wake"
Sasa,
Nikabaki pale nje nimeduwaa, maswali mengi kichwani. Kisha nikaenda zangu nyumbani.
Ni siku ya 5 Sasa karudi kwenye ule utaratibu wake w zamani wa kurusha vijembe status,
Naziona status zake kibao kila Mara, nabaki najiuliza.
[emoji117]Hivi uyu mwanamke ananichukuliaje kwanza?[emoji848]
[emoji117]Hivi anajiona special Sana eeh?[emoji848]
[emoji117]Hivi anajua kua hapo anapokaa Kodi anahamia nmelipia mm?[emoji848]
[emoji117]Hivi anajua Apo anapojimwambafai nishapita na mdg wake?[emoji848]
[emoji117]Hivi anajua kwamba Apo anapofanya kazi yupo kwa mgongo wangu mimi[emoji848]
[emoji117]Au nimuundie zengwe Tena ahangaike na Dunia ili akili imkae[emoji848]
Wakuu mnisaidieni
Je, NIMWAMBIE UKWELI AU NIMUACHE AENDEEE KUJIMWAMBAFAI[emoji848]
Mwisho
Kwa habari ya ndg zake hwana mikono?Kijana, mshahara wa dhambi ni mauti; mauti inaweza kuwa kwako, kwa mkeo au mchepuko wako. Hebu jaribu kupitia gharama ambazo umeshaingia kwa ajili ya huyo mchepuko, mkeo, watoto na nduguzo wanaotegemea msaada wako, umewagharimu kiasi gani. Umeoiteza muda, pesa na mahusiano. TAFAKARI.
Vv
Ndo hvo utulize huo mtura wako
Mwacheni mwenzenu atumie pesa zake anavyopenda as long as anazitafuta mwenyewe.After all, amesharidhia anapata kitu rohooo inapendaaa.Kijana, mshahara wa dhambi ni mauti; mauti inaweza kuwa kwako, kwa mkeo au mchepuko wako. Hebu jaribu kupitia gharama ambazo umeshaingia kwa ajili ya huyo mchepuko, mkeo, watoto na nduguzo wanaotegemea msaada wako, umewagharimu kiasi gani. Umeoiteza muda, pesa na mahusiano. TAFAKARI.
Vv
Bora hata umenisaidia kumjibu, ni mda Sana nilikua nawaza nimjibu kitu gan[emoji4]Mwacheni mwenzenu atumie pesa zake anavyopenda as long as anazitafuta mwenyewe.After all, amesharidhia anapata kitu rohooo inapendaaa.
Pia, una uhakika gani kama ndugu zake hawasaidii?
nimeamini kweli inzi hufia kwenye kidonda.Basi Mwanamke yule akanitafuta anagomba kwann nmefanya vile, nmemdharau sana, nmeona ela yake hainathaman, sio utu ule yeye kachangia kwa Nia njema maana ananipenda. Nkamwambia tutayazungumza nikisharudi. Nikakata sim.
Sasa kwa bahat mbaya nilivoenda kupakia, nkakuta Bei za vitu zimepanda Sana uko. Ikabd Ile bajet nlotenga kununulia material za ujenz niongeze nichukue mzigo wa duka Kama nilivopanga. Nkasema huu ujenz upo ntaendelea nao baadae. Nizungushe kwanza. Afu vitu vingine nkavikosa vya muhimu nkavikosa ikabid nirudi baada ya siku 5 tu badala ya wiki 2 Kama nilivopanga awali.
Sasa Nilivorudi nkakuta mwenzangu kanuna, Basi ukawa mzozo akilalamika kwann nmeukataa mchanga wake. Yakawa Kama yameisha.
Tukasex kisha nikaondoka bila KUACHA posho ya meza.
Baada ya siku 2 Tena nkaenda kusex nae, Kisha nkaondoka bila KUACHA posho ya meza.
Ile natoka mlangoni Akanivuta kusema
"Hivi wee Mwanaume unanichukuliaje Mimi? Umeniona mi takataka Sana sio?"
Nkauliza "kwann?"
Akasema "Yaan unakuja,unaondoka TU hata ela ya kula huachi.
Kwenye Ujenzi nako sikuelewi elewi naona umerudi ila Sioni material wala ukiendeleza ujenzi
Ilianza unatoa elfu 15, ukaja elfu 5, sikuhizi naona huachi KABISA.
Hivi wee unahisi mi naishije hapa ndani? Au nimekua jini Mimi?"
Nikawa nimecheka nikamwambia
"kwani Maneno yote Ayo yanatoka wapi mpnz wang, wee sinilishakuachia Ela ya kula wiki 2? , leo wiki ya pili ndo imeanza unaniombaje Ela sasa?"
Akasema,
"Unaemchekea Nani,hapa utoki Lazima unaichie Ela..." Uku ananisachi.
Nikawa namtoa hatoki anaendelea kunikagua mifukoni, nikona uyu mpumbavu.
Nikamziba Kofi, akaiachia suruali yangu.
Nikamwambia,
"ukome na uwe na adabu unapokua unaongea na mm, tabia ya kunisachi Ni ya kimalaya na ife Mara Mona. Usije unarudia huo upuuzi Tena"
Basi nikaondoka zangu.
Sasa kesho yake Sina hili Wala Lile wakapitishwa samaki wazur Sana dukan kwangu.
Nikanunua mafungu mawili, moja likapelekwa kwangu jingine nikamtuma bodaboda wake ampeleke mchepuko kwake.
Basi baadae boda Akanambia kafikisha mzigo, ikabd Nimpigie kumjulisha achukue samak mmoja anichemshie supu jion ntapitia kunywa. Akawa hapokei.
Basi nikamtumia sms.
Ile jion nikapitia kwake kunywa supu yangu, Ila nafika nagonga akaja mlangon akasimama wima.
Akasema,
"Eeh baba wee, ishia uko. Ukitaka kuingia nyumba hii tekeleza nnayoyataka"
Nkamuuliza "yapi Ayo"
Akasema
" kwanza-uwe unanipa elfu 20 yakula kila siku
Pili- unimalizie ile nyumba ndani ya mwezi huu
Tatu- uweke zamu yakulala kwangu.
Huwez kutekeleza Ayo Basi ISHIA HAPO HAPO NJE"
Nkamwambia "sawa"
AkAuliza
"Iyo sawa maana ake Nini, afu ilo jibu lako silipendi linanikera Sana"
Nkamwambia ,
"Sawa maana ake siwez kutelekeza Ayo unayoyahitaji kwa Sasa"
Akasema "aya, ishia huko huko. Wako wanaume wengi sana Kama wewe wanaoweza kutimiza nnayoyahitaji"
Nkamwambia "sawa wakakutimizie Basi"
Akasema " akarud ndan na kufunga mlango wake"
Sasa,
Nikabaki pale nje nimeduwaa, maswali mengi kichwani. Kisha nikaenda zangu nyumbani.
Ni siku ya 5 Sasa karudi kwenye ule utaratibu wake w zamani wa kurusha vijembe status,
Naziona status zake kibao kila Mara, nabaki najiuliza.
[emoji117]Hivi uyu mwanamke ananichukuliaje kwanza?[emoji848]
[emoji117]Hivi anajiona special Sana eeh?[emoji848]
[emoji117]Hivi anajua kua hapo anapokaa Kodi anahamia nmelipia mm?[emoji848]
[emoji117]Hivi anajua Apo anapojimwambafai nishapita na mdg wake?[emoji848]
[emoji117]Hivi anajua kwamba Apo anapofanya kazi yupo kwa mgongo wangu mimi[emoji848]
[emoji117]Au nimuundie zengwe Tena ahangaike na Dunia ili akili imkae[emoji848]
Wakuu mnisaidieni
Je, NIMWAMBIE UKWELI AU NIMUACHE AENDEEE KUJIMWAMBAFAI[emoji848]
Mwisho
Huyo mchepuko wako ana mapepo!!!!!Basi Mwanamke yule akanitafuta anagomba kwann nmefanya vile, nmemdharau sana, nmeona ela yake hainathaman, sio utu ule yeye kachangia kwa Nia njema maana ananipenda. Nkamwambia tutayazungumza nikisharudi. Nikakata sim.

Sasa hapo heshima ilirudije wakati hamjakaa kidogo ameshakuzuilia mlangoni yaani huyo demu sio bure kakuweka kiganjani alafu lidemu linaonekana kwao choka mbaya linafeki maisha tu,Ni Kias TU,
Pale Cha muhimu Lengo lilitimia, nafs yang ikasuuzika na heshima ikarudi kwa msoto ule[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hapo ndio umejiroga mwenywe bila ya mganga UNAMPENDAAA SANAAA .Najua wazi unataka umuweke katika line yako unayotaka ili umuoe lkn huyo demu bado hajajitambua ,mimi nafikiri mueke kiti moto umueleze ukweli nia yako na matarijio yenu ya mbele ili upate kula sambusa zako kiulaini na halali zaidi ya hapo huyo demu atakuchezea sana sababu na yeye anaangalia life yake anoogopa any time unaweza kumpiga na chini.Mkuu,
Uyu mwanamke Ni kweli nampenda, ila nampenda kwasababu ananipa sex burudani mustarehe. Hana kingine Cha ziada.
Honestly,
Uyu mwanamke siwezi kumuoa, na naamini hata ungekua wewe lazima usingemuoa (nisiwe mnafiki Hapa).
Uyu acha Tuendelee kuishi hivi hivi.
Ayo yote kumzingua mpk wakauza kiwanja Cha mama ake mkoani Ni matokeo ya ujeur wake kutokuthamini mchango wang ktk maisha yake.
Na siku zote Mimi mtu ukiniletea ujeur,
Nakufinya pale pale panapouma ili akili ikurejee mahali pake.
Sio kwambanakuchukia, Bali nataka kukurekebisha.
Kwanza ningekua navisasi ningeshadai laki 5 yangu ilobaki, sema TU nmepotezea coz najua ulkua Ni mchongo na lengo langu la kumrudisha mstarini lishatimia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]! Kweli mmetofautiana aseeh!