Nyafwili
JF-Expert Member
- Nov 27, 2023
- 4,240
- 10,561
Habari za majukumu wana JF, poleni na mihangaiko ya hapa na pale. 🤝🤝
- Watu wanaweza kuwa na tabia na matarajio tofauti sana katika uhusiano, na mara nyingi hutokea kwamba baadhi yao huweka masharti magumu kwa sababu zao binafsi. Au Inawezekana mtu huyu anafanya hivyo ili kujilinda kutokana na mpitio mbaya wa zamani, au labda ni sehemu ya tabia zake za kawaida.
• Lakini Huyu mchepuko anaweka masharti magumu sana kwenye uhusiano wa kimapenzi, Kutokana na hali hiyo, mda mwingine najiuliza kwamba ni binadamu halisi kweli? , tabia zake zinanifanya niwe na mashaka.
• Lakini Kwa huyu mwanamke nimekuwa na wasiwasi kuhusu uhalisia wake, nimejaribu kumjua zaidi, kuzungumza naye kwa ukaribu kuhusu hisia na matarajio yake, na kuona kama kuna uwiano wa matarajio katika uhusiano wetu wa kupotezeana mda.
• Lakini masharti yake yanaonekana kuwa magumu sana ambayo yananifanya niamini huyu mwanamke kuna kitu nyuma na mbele ya pazia:-
Ebu fikiria misimamo yake
Ukaguzi wa kimwili

1. Marufuku kufanya mapenzi siku ya alhamisi usiku na ijumaa - kwasababu ni siku ya ibada.
2. Marufuku Kufanya mapenzi siku ya jumanne - kwasababu majini huwa yanamtembelea kumsalimia.
3. Marufuku kufanya mapenzi muda wa mchana - amesema hajazoea na watu wake hawapendi afanye mapenzi mda wa mchana.
Ukaguzi wa kimwili
1. Nimejaribu kuafiatilia hizo siku labda kama anamchepuko namba mbili lakini wapi.
2. Nimejaribu kumkagua mwili mzima labda nione kama kuna kitu mwilini anaogopa nisikione muda wa mchana, Lakini yupo vizuri kabisa.
3. Amefika mbali zaidi, ili kuniamisha kuwa hana mchepuko namba mbili, hizo siku za umimi wa utelezi huwa anakuja ofisini kwangu nashinda naye mpaka muda wa kufunga ofisi.
4. Nyumba yake anayokaa, inanukia manukato ya hali juu,
Mabaharia na wana mito, limekajaake hili? 🤒🤒🤒