Huyu mchepuko ana masharti magumu sana, ni binadamu halisi kweli au nimevamia kambi? 🤔

Huyu mchepuko ana masharti magumu sana, ni binadamu halisi kweli au nimevamia kambi? 🤔

na kuona kama kuna uwiano wa matarajio katika uhusiano wetu wa kupotezeana mda.

Mke wako hana unayotafuta kwa mchepuko?

Kwanini unakazania tabia hiyo na huyo kutaka kujiletea matatizo maishani.. umeyasoma na kulala na watu tofauti ovyo humu na mabalaa yake.. tafuta threads za kuhusu..

Una tabia mbaya tulia na mkeo
 
Back
Top Bottom