Huyu mchepuko ana masharti magumu sana, ni binadamu halisi kweli au nimevamia kambi? 🤔

Huyu mchepuko ana masharti magumu sana, ni binadamu halisi kweli au nimevamia kambi? 🤔

Mke wako hana unayotafuta kwa mchepuko?

Kwanini unakazania tabia hiyo na huyo kutaka kujiletea matatizo maishani.. umeyasoma na kulala na watu tofauti ovyo humu na mabalaa yake.. tafuta threads za kuhusu..

Una tabia mbaya tulia na mkeo
Mkuu, ushauri wako mzuri,

Kilicho ni poza ni ule msemo wa shamba la nyumbani usichume mboga kila simu, angalau unaenda hata kwenye mashamba uliyo kodi sehemu ya mbali kuchuma mboga.
 
Habari za majukumu wana JF, poleni na mihangaiko ya hapa na pale. [emoji1666][emoji1666]
- Watu wanaweza kuwa na tabia na matarajio tofauti sana katika uhusiano, na mara nyingi hutokea kwamba baadhi yao huweka masharti magumu kwa sababu zao binafsi. Au Inawezekana mtu huyu anafanya hivyo ili kujilinda kutokana na mpitio mbaya wa zamani, au labda ni sehemu ya tabia zake za kawaida.

• Lakini Huyu mchepuko anaweka masharti magumu sana kwenye uhusiano wa kimapenzi, Kutokana na hali hiyo, mda mwingine najiuliza kwamba ni binadamu halisi kweli? , tabia zake zinanifanya niwe na mashaka.


• Lakini Kwa huyu mwanamke nimekuwa na wasiwasi kuhusu uhalisia wake, nimejaribu kumjua zaidi, kuzungumza naye kwa ukaribu kuhusu hisia na matarajio yake, na kuona kama kuna uwiano wa matarajio katika uhusiano wetu wa kupotezeana mda.

• Lakini masharti yake yanaonekana kuwa magumu sana ambayo yananifanya niamini huyu mwanamke kuna kitu nyuma na mbele ya pazia:-

Ebu fikiria misimamo yake
1. Marufuku kufanya mapenzi siku ya alhamisi usiku na ijumaa - kwasababu ni siku ya ibada.​
2. Marufuku Kufanya mapenzi siku ya jumanne - kwasababu majini huwa yanamtembelea kumsalimia.​
3. Marufuku kufanya mapenzi muda wa mchana - amesema hajazoea na watu wake hawapendi afanye mapenzi mda wa mchana.​

Ukaguzi wa kimwili
1. Nimejaribu kuafiatilia hizo siku labda kama anamchepuko namba mbili lakini wapi.​
2. Nimejaribu kumkagua mwili mzima labda nione kama kuna kitu mwilini anaogopa nisikione muda wa mchana, Lakini yupo vizuri kabisa.​
3. Amefika mbali zaidi, ili kuniamisha kuwa hana mchepuko namba mbili, hizo siku za umimi wa utelezi huwa anakuja ofisini kwangu nashinda naye mpaka muda wa kufunga ofisi.​
4. Nyumba yake anayokaa, inanukia manukato ya hali juu,​
Mabaharia na wana mito, limekajaake hili? [emoji855][emoji855][emoji855]
Kama ni mchepuko tu unajipigia na kuondoka na huna mpango wa kuoa, masharti hayo unayaogopa ya nini? Umesema mwenyewe "mnapotezeana muda", kubali masharti yote uendelee kujinyoshea mgongo.
 
si ufanye hizo siku zingine anazotaka tu mengine yatajisort mbele bhana 😂😂😂
We muache tu aendelee nae licha yabkutajiwa majini, siku atakapopigwa mtu na majini yamle ndogo na kumkata dushe ndio akil zitakkaa sawa.
Majin??? Sitak mwanamke hata anayeanguka pepo tu simli. Nakula wale wenye roho wa bwana 😂
 
(Mfano👉Mimi ni kijana wa kiume ninamiaka 26.... Halafu bado bikra😁
Ndio sababu nnakuwa hivi nilivyo. Kama huamini sikulazimishi)
Utakuja upitie changamoto hii👉 Utaingia kwenye ugomvi na mume mwenzako wa kijini ambaye kakubali mshee mke kwa mashart!!!!
Hapo ndipo utajua Kuna Mungu😁😁😁
. Mkuu, nifundishe na mimi upako.. Ili niupambane na huyu shetwani...

. Mkuu kwa nini shetwani anapenda kulamba utelezi wa binadam 🤔🤔. Kwa nini asitafune madem wa kishetwani??
 
We muache tu aendelee nae licha yabkutajiwa majini, siku atakapopigwa mtu na majini yamle ndogo na kumkata dushe ndio akil zitakkaa sawa.
Majin??? Sitak mwanamke hata anayeanguka pepo tu simli. Nakula wale wenye roho wa bwana 😂
😂😂😂😂😂heee sasa anae anguka mapepo utamjuaje? au wakwako mnakutanaga kanisani
 
😂😂😂😂😂heee sasa anae anguka mapepo utamjuaje? au wakwako mnakutanaga kanisani
Tukikutana location, Kabla ya kumla namshushia kwanza maombi mazito ya upako ndio mchakato unaanzaa baada ya kuona matokeo
 
Back
Top Bottom