Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Very stupid football player. Anaongea mbele ya wenzake akidhani sisi wote hatufahamu Kifaransa. Kuwa yeye ameamua kuchezea Yanga sababu kule Simba kuna ushindani sana wa namba.
Hivyo anaona akija Yanga kuna uhakika na watampa namba wakati wote. Yaani professional player anakimbia changamoto?
Ni kauli ya kipuuzi. Na mwenzake anamwambia "upo sahihi mimi mwenyewe ile team naipenda lakini shida ni kuwa hawana uvumilivu wanataka matokeo.ukiwa umeyumba kidogo unaishia bench"
Very stupid. Kiongozi wetu yupo tu, haelewi. Haya mambo watu wanafanya kiswahili sana. Hatutaki kuwa na wachezaji ambao muda mwingi wata deal na urembo tu.
Mwaka huu tunataka vikombe.