ZionGate
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 6,362
- 2,991
Hakuna shabiki wa Simba anaumia na Yanga, tunaumia kushiriki ligi na timu inayolipiwa vyumba na waarabu, badala kucheza mpira inacheza karate uwanjani, kila siku kulialia inaonewa, timu ombamba, timu inakula mayai fiza, timu inayojikombakomba Simba wakati level yake ni Mwadui fc, mbaya zaidi hata Morocco walikolipiwa na miarabu wanafikiria kwenda na basi eti ticket hawana..Mashabiki wa Simba mna kazi kweli Yanga inawauma sana klia mkikaa mnawaza Yanga tu wala hamna lingine la kufanya ,nyie subiri Tar 25/9 mle kichapo na msionekane tena mitandaoni.Kipigo lazima
Hii timu inastahili kutokea shelisheli au Somalia