Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Bado Nguza na Pappy Kocha tu kikosi kikamilike,π€£π€£Vimeumana Yanga Extra Musica ππππ
Wana shida sana hawa Bombay fc!Mbona mnajitekenya wenyeww halafu mnacheka?
Mimi naifahamu Simba kabla wewe hujafaa hata kuwa kwenye sperms. Usidhani mimi ni Mshabiki kitumbua kama wewe....πππππππMbona mnajitekenya wenyeww halafu mnacheka?
Mshalipiwa Kule Morocco na waarabu.... Wanawasubiri kwa hamu waje kuuondoa huo mwiko huko nyuma....πππππππππππ Yaani mnawauzia kisinda halafu mnaomba wawalipie kambi na malazi. Waarabu? Sijui mtarudi mkoje....ππππππWana shida sana hawa Bombay fc!
kitumbua? ππMimi naifahamu Simba kabla wewe hujafaa hata kuwa kwenye sperms. Usidhani mimi ni Mshabiki kitumbua kama wewe....πππππππ
π€£ Kitumbua fc nyuma mwikokitumbua? ππ
Mashabiki wa Simba mna kazi kweli Yanga inawauma sana klia mkikaa mnawaza Yanga tu wala hamna lingine la kufanya ,nyie subiri Tar 25/9 mle kichapo na msionekane tena mitandaoni.Kipigo lazimaVery stupid football player. Anaongea mbele ya wenzake akidhani sisi wote hatufahamu Kifaransa. Kuwa yeye ameamua kuchezea Yanga sababu kule Simba kuna ushindani sana wa namba.
Hivyo anaona akija Yanga kuna uhakika na watampa namba wakati wote. Yaani professional player anakimbia changamoto?
Ni kauli ya kipuuzi. Na mwenzake anamwambia "upo sahihi mimi mwenyewe ile team naipenda lakini shida ni kuwa hawana uvumilivu wanataka matokeo.ukiwa umeyumba kidogo unaishia bench"
Very stupid. Kiongozi wetu yupo tu, haelewi. Haya mambo watu wanafanya kiswahili sana. Hatutaki kuwa na wachezaji ambao muda mwingi wata deal na urembo tu.
Mwaka huu tunataka vikombe.
Huyo ni mwenzako ambaye akili yake hajashikiwaMashabiki wa Simba mna kazi kweli Yanga inawauma sana klia mkikaa mnawaza Yanga tu wala hamna lingine la kufanya ,nyie subiri Tar 25/9 mle kichapo na msionekane tena mitandaoni.Kipigo lazima
Hayo maneno kama kayaongea mchezaji wa Yanga basi weka hiyo video hapa tuisikie hakuna haya ya kuyaongea weweVery stupid football player. Anaongea mbele ya wenzake akidhani sisi wote hatufahamu Kifaransa. Kuwa yeye ameamua kuchezea Yanga sababu kule Simba kuna ushindani sana wa namba.