Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
- Thread starter
-
- #61
Hii timu ya taifa ya Tanzania bila Kelvin Yondan huwa inakuwa ktk hatari hatari sana
Akili za Mbumbumbu FC aka Mikia hiyo.Ni bora 10x kuliko wajukuu walioko yanga na babu zao walioko huko wasio na faida. Bocco alisaidia kuwapapasa matitiki kagere alipoingiza kichwa mkazaa watoto watatu kwa simba mapacha. Bocco was there😂😂😆
Akili za Mbumbumbu FC aka Mikia hiyo.
Tabu ya kuingia mjini ukiwa mtu mzima ukitoka maporini huko kwny simba.Mbumbumbu,vilaza, akilimali team,ombaomba ,gongo wazi,wa kukodishwa😂😂😂Kagere. Huyooooooo anakuja.... Unakaa kutema tema mate jamaa aliwadanganya aingize kichwa tu... Akafanya yake.
sasa hv upo timu gani Mkuu?Hakuna mchezaji ninayemkubali Bongo kama Bocco.
Toka alipoifunga majimaji pale Dodoma mwaka 2008 na kuipandisha Azam ligi kuu. Nami nikaamua nihamie Azam mwaka huo kumfuta yeye.
Huwa unaangalia mechi za mikia nyingi sababu yake yeye.
Mkuu Azam hawajajichanganya! Wachezaji wa Tanzania wana Kitu kipya wanakileta Ktk soka (kama sio ulimbukeni)Nadhani Azam fc. Walijichanganya kuwauza hawa wachezaji.
Bocco
Nyoni
Gadiel
Manula
NA kapombe. Huenda wangekuwa wanawakirisha nchi wakiwa na Uzi wa blue. All in all wote wanajielewa.hongera k wao
Tabu ya kuingia mjini ukiwa mtu mzima ukitoka maporini huko kwny simba.
Mkuu Azam hawajajichanganya! Wachezaji wa Tanzania wana Kitu kipya wanakileta Ktk soka (kama sio ulimbukeni)
ukiacha Gadiel ambae aliuzwa... Hao wengine mikataba yao ilipokaribia kwisha.. Azam walipotaka kurenew contracts zao, wakataka SIGNING FEE... as if anasajiliwa Mchezaji mpya...mf Manula alitaka 40m!
ktk soka hakuna signing fee kwa Mchezaji anaerenew contract isipokuwa kuna MABORESHO YA MASLAHI mf Mshahara, Allowances, Bonus etc..Azam wakataka kunegotiate basi hata hicho wanachotaka kishuke... Na kipindi hicho tayari Mnyama kashanusa... Wachezaji wakakaza... Mtoto wa Bakhresa akaona usiwe Shida... Hakuna mchezaji mkubwa kuliko team... Waende tu... Wakaondoka!
Juzi Azam wamerenew contracts za Ngoma na SEBO... hakukuwa na SIGNING FEES!
hata kama wangetafuta mbadala wa hao wachezaji. Kitu kingine Azam alikosea ni uongozi tangu saad. Aondoke timu haina zile hamasa kama mwanzoni miaka ya 2011Mkuu Azam hawajajichanganya! Wachezaji wa Tanzania wana Kitu kipya wanakileta Ktk soka (kama sio ulimbukeni)