Mkuu Azam hawajajichanganya! Wachezaji wa Tanzania wana Kitu kipya wanakileta Ktk soka (kama sio ulimbukeni)
ukiacha Gadiel ambae aliuzwa... Hao wengine mikataba yao ilipokaribia kwisha.. Azam walipotaka kurenew contracts zao, wakataka SIGNING FEE... as if anasajiliwa Mchezaji mpya...mf Manula alitaka 40m!
ktk soka hakuna signing fee kwa Mchezaji anaerenew contract isipokuwa kuna MABORESHO YA MASLAHI mf Mshahara, Allowances, Bonus etc..Azam wakataka kunegotiate basi hata hicho wanachotaka kishuke... Na kipindi hicho tayari Mnyama kashanusa... Wachezaji wakakaza... Mtoto wa Bakhresa akaona usiwe Shida... Hakuna mchezaji mkubwa kuliko team... Waende tu... Wakaondoka!
Juzi Azam wamerenew contracts za Ngoma na SEBO... hakukuwa na SIGNING FEES!