Huyu mchumba alitaka kumuua baba yangu kisha animalizie na mimi

Huyu mchumba alitaka kumuua baba yangu kisha animalizie na mimi

Nimeishia hapo eti atuandikishie urithi. Huu ni uongo uliotukuka na wimbi la hawa vijana waliobalehe juzi wenye ndoto nyevu wamezidi hapa jukwaani. Nyuzi kama hizi zifutwe.
Kwetu malantu maana yake matako makubwa.
 
Mbona muandko wako nikama wa lak 3

Achane kutunga story kuwasema dadaZetu

[emoji35][emoji35][emoji35]
 
Usije ukadhubutu kudate mwanamke toka Kilimanjaro au Arusha. Usidhubutu. Nlipata demu mmoja wa kipare kipindi hicho nataka kuoa. Alikuwa anafanya kazi bank. So mara nyingi nikienda ku deposit mkwanja namtumia yeye.
[emoji23][emoji23][emoji23] huo mstari wa mwisho kha
 
Uache kiherere ngumbaru wewe. Ilikuaje mpenzi wako ajue utajiri wa baba ako? Na biashara alizonazo kama sio upumbavu na kiherehere chako mwenyewe kilichokupelekea kumwambia. Na ukiendelea kung’oa hivi mademu kwa kutumia mali na utajiri wa baba yako yatakuja kukupata makubwa. Ngumbaru mkubwa wewe.
 
Daaaaaah..... Yupo wapi sasa?
Najua basi ilikua 98 huko , yaani demu mkianza kulana anapiga kilio mpaka majirani wanazani jirani yao anauliwa😁😅😅😅
Wanakuja kugonga anawaambia nyie mtulie niachieni matatizo yangu,
Akirudi tunaanza upya basi utaskia "mamaa wee nakufa mimi kwanini mama mi napata tabu hivi hili shimo"🤣🤣🤣
Yaani yule mwanamke ilikua kazi sana
 
Kwetu malantu maana yake matako makubwa.
Na haiondoi ukweli kwamba umeandika mada ya kipumbavu na ya kutunga. Hivyo vistori upuuzi uwe unajadiliana na malimbukeni wenzako ambao mmebalehe juzi pamoja.
 
Najua basi ilikua 98 huko , yaani demu mkianza kulana anapiga kilio mpaka majirani wanazani jirani yao anauliwa😁😅😅😅
Wanakuja kugonga anawaambia nyie mtulie niachieni matatizo yangu,
Akirudi tunaanza upya basi utaskia "mamaa wee nakufa mimi kwanini mama mi napata tabu hivi hili shimo"🤣🤣🤣
Yaani yule mwanamke ilikua kazi sana
Ulikuwa una enjoy sana..... Sipati picha....
 
Na haiondoi ukweli kwamba umeandika mada ya kipumbavu na ya kutunga. Hivyo vistori upuuzi uwe unajadiliana na malimbukeni wenzako ambao mmebalehe juzi pamoja.
Matakoh umeumia sana. Nimeshaandika sasa. Unasemaje? Na watu wanachangia na wewe ukiwemo. Tulia utapata bwana. Ukiendekeza tamaa huolewi. Shauri yako.
 
Usije ukadhubutu kudate mwanamke toka Kilimanjaro au Arusha. Usidhubutu. Nlipata demu mmoja wa kipare kipindi hicho nataka kuoa. Alikuwa anafanya kazi bank. So mara nyingi nikienda ku deposit mkwanja namtumia yeye.

Akawa anaona account yangu imenona. Aka fall in love nayo. Mtoto alikuwa white siyo mweupe. Tako na hips vipo.... Hatari sana kwa watabe. Akawa amefall in love kweli kweli.. alinipa hadi nini.

Ikawa sasa anasema tuoane n.k nami nikicheck umri nao umesogea sogea.... Ila nikawa naendelea kwanza kufunga na kuomba kama wasemavyo ndgu zangu Wakristo.

Binti alishajua natoka familia gani. Maana mzee allahamdulilah si haba alikuwa amejiwekea ukwasi wa kutosha. Magari ya mizigo na miradi kem kem. Bint alinipenda zaidi.

Issue sasa ikawa anataka sana tuoane na siku moja akaanza niuliza kwa umakini. Kuwa mzee na utajiri wote ule hana watoto wa nje? Maana huwa wanasumbua kwenye kugawana mali. Nika rewind hayo maneno yake kichwani. Nikaguna. Nikajifanya sikusikia.

Siku nyingine tena kama utani akawa anasema "mzee wako mcheshi sana unaweza kuta huko nje ana watoto siku ya kugawana mali mkajikuta mpo 10.... "Akacheka kidogo. Nikamwambia sisi tupo watatu tu hivi. Wakiume wawili wa kike mmoja. Akasema afadhali.

Basi ikawa tu... Tutaonana lini, tutaonana lini. Siku hiyo akaniambia seriously kabisa akinishauri kwa mapenzi. Nimwambie mzee atuandikishe kabisa urithi ili yasije kutokea ya kutokea tukaanza kugombania mali. Kila mtu awe na chake kabisa.

Hapo nikasema asalaleeeeeehhh.... Sina mchumba hapa. Nina lijambawazi na limeshaanza kutaka kuchafua hali ya hewa. Alikuwa kifuani kwangu nikatoa kwa nguvu. Nikamwambia avae aondoke na mitako yake aende nayo. Sitaki tena kuwa naye. Akaanza omba msamaha kuwa alikuwa tu anatoa ushauri maana kuna mwenzie waliwahi pata shida na ndugu zake sababu hiyo.

Nlimwambia akazane akawe mchepuko wa mzee ili akaandikishwe yeye urithi. Aondoke jini, shetani maimuna na subian. Hakuamini. Nilimbebea nguo zake na kuziweka begini. Nikamwambia aanze mbele sitaki mwona tena.

Nlimwona ni muuaji kabisa. Anataka aje amuue mzee nini? Ili nibaki na mali akiwa mke wangu. Kisha aniue na mimi.... Mazafanta kabisa. ..nikaachana naye siku ile ile. Alibembeleza sana nimrudie tusameheane nikagoma. Akaja sema ana mimba yangu. Nikamwambia amtume rafiki yake Vicky aje aniletee home. Yeye asikanyage tena. Mbwa yule jambazi mkubwa.
Hao wanyama ndivyo walivyo. Wanapenda kutembea na ndugu zao sina hamu. Hawana ubinadamu. Ni wanyamxxx wanaovaa nguo
 
uunafanya generalization za kipumbavu, si kila mwanamke wa kaskazini yuko hivo. Acha upumbavu....
Mimi nimekutana nao Ke Wairaki, Wameru, Wachaga, Wapare, Wamasai ila ni Ke Mmasai pekee ndiye niliona hana chembe chembe za kukaa kimasilahi.

NB:

Wote tu Watoto wa Baba mmoja "Tanzania" lakini hao Ndugu zangu kanda za Kaskazini nimewanyanyulia mikono juu [emoji119]
 
Back
Top Bottom