Huyu mdada anaomba ushauri wenu

Kiwanja ana hati yake mwenyewe jinalakr kabisaaa limeandiksa na ameshika hati mkono I?
 
Sawa mkuu
 
Kiwanja ana hati yake mwenyewe jinalakr kabisaaa limeandiksa na amesika hati mkononi?
 
Uyo dada ajielewi kabisa na uyo mwalimu ikitokea amemuoa basi ipo siku nae atakula za mbavu tu mana uyo demu anaonekana ukiwa na maokoto tu unamsuuza vzur tu
 
Aolewe kwanza na mubaba miaka 20 badaye mubaba atafatiki huku yeye akiwa na miaka 43, Atabaki na Majumba na Pesa.

Kisha aolewe tena na yule Jembe la mkono atakayekuwa na miaka 49, miaka 20 badaye watakufa wote.
Anaweza akafa akawaacha 😆😆
 
Cha muhimu awakutanishe wote awake ukweli kuwa amewapenda wote wajuane
 
Akomae tu na huyo mbaba wa 40. Miaka 29 atakuja atampora kiwanja , na hako kajumba kake aakishavipata ataanza kumtafutia visingizio , kumpiga n.k kwasababu anajua kama umeweza kumuacha mtu aliyekuanzisha chini, kulipia ada ukamfata yeye , utashindwaje kumuacha yeye ukaenda kwa mwengine. Ukishawekeza kwa mtu simamia uaminifu wako usiyumbe Wala kuyumbishwa na hisia za muda mfupi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…