cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Kiwanja ana hati yake mwenyewe jinalakr kabisaaa limeandiksa na ameshika hati mkono I?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuuKwaiyo wazazi wa huyo hinti/kitoto Cha elfu 2,000 wanapokea kila mwanaume anayekuja kujitambulisha?
Kwanza sio mdada sema kitoto Cha elfu 2,000
Mbaba hajielewi na kitoto chenyewe hakijielewi na wazazi wa kitoto ndio hawajielewi kabisa yani vurugu.
Mimi ushauri wangu unaenda kwa huyo kijana wa miaka 29 atafute mke wa kuoa aachane na icho Kivuruge.
Huyo binti sidhani kama kweli anahitaji ushauri manaake hapo ni issue ya kufanya maamuzi tu.
Anaweza akafa akawaacha 😆😆Aolewe kwanza na mubaba miaka 20 badaye mubaba atafatiki huku yeye akiwa na miaka 43, Atabaki na Majumba na Pesa.
Kisha aolewe tena na yule Jembe la mkono atakayekuwa na miaka 49, miaka 20 badaye watakufa wote.
Hahahah.Aolewe kwanza na mubaba miaka 20 badaye mubaba atafatiki huku yeye akiwa na miaka 43, Atabaki na Majumba na Pesa.
Kisha aolewe tena na yule Jembe la mkono atakayekuwa na miaka 49, miaka 20 badaye watakufa wote.
Akomae tu na huyo mbaba wa 40. Miaka 29 atakuja atampora kiwanja , na hako kajumba kake aakishavipata ataanza kumtafutia visingizio , kumpiga n.k kwasababu anajua kama umeweza kumuacha mtu aliyekuanzisha chini, kulipia ada ukamfata yeye , utashindwaje kumuacha yeye ukaenda kwa mwengine. Ukishawekeza kwa mtu simamia uaminifu wako usiyumbe Wala kuyumbishwa na hisia za muda mfupi.Iko hivi huyu ni binti miaka 23, anajikuta kwenye dimbwi la mawazo katika kufanya maamuzi
Amekuwa na mahusiano ya kimapenzi na mbaba(40 yrs) yaani mume wa mtu kwa zaidi ya miaka miwili na amemuahidi kumuoa na amejitambulisha mpaka kwa Wazazi wake hata alipokuwa chuo cha maendeleo huyo mbaba ndo alikuwa anamsimamia huduma za chuo na kila kitu na pia alishatambulishwa hadi kwa mke wake mbaba
Pia alishamnunulia kiwanja na ameanza kumjengea nyumba
Miezi ya hivi karibuni amejikuta kupendana na kijana miaka 29 ila kwa bahati mbaya ni jobless anasubiri kuajiriwa na serikali(ualimu) kwa sasa anajishughulisha na kilimo cha jembe la mkono na yeye amejitambulisha kwao anataka kupeleka posa
Yupo njia Panda afanye maamuzi yapi?
Polisi tena teh tehee,kwani wamembaka?Akawashtaki polisi.
Watajua wakifika huko.Polisi tena teh tehee,kwani wamembaka?