Huyu mdada nilikutana nae kwenye sherehe ya harusi ya ndugu yangu, kuulizia ulizia, nikatambulishwa kuwa alikuwa ni family friend wa ndugu yangu tena anaishi jirani na mtaa anaoishi ndugu yangu. Alinivutia, nikamwomba namba akakubali, tukawa tunachat, tena siku ingine anaanza yeye kunitext , ndani ya siku 4, siku ya 5, nika-set a date akaja.
Tukakutana kwenye mgahawa mzuri, mimi nikaagiza sprite yeye akaagiza juisi, nikamweleza nia yangu, akaonesha kukubaliana na mimi, baada ya hapo akanisindikiza..nikasepa.
Sasa nikamwambia aje gheto kwangu apajue alisema atakuja baada ya wiki 1, kabla ya hiyo siku ya yeye kuja gheto kufika, akanitext akaniambia ana shida ya tsh elf 10 nimtumie, nikamwambia asijali, akija gheto intampa zaidi ya hiyo Tsh. elf 10, akasema hapana anaihitaji kwa muda huo.
Nikamwambia akope sehemu ingine akija gheto hata tsh elf 40 nitampa na nauli nitamrudishia mara mbili yake..kiuhalisia mimi uwezo wa kumpa hata tsh elf 70 nilikuwa nao, akasema haya.
Tangu siku hiyo alinichunia, SMS zangu hakujibu tena, simu zangu hapokei, na gheto hakuja tena sasa wazee mimi kosa langu lilikuwa nini hapo, maana hata nlivyomtongoza nilienda kawaida, sikujifanya nina hela.