Huyu mdada anavyonichunia baada ya kumwambia hivi, kosa langu ni nini?

Huyu mdada nlikutana nae kwenye sherehe ya harusi ya ndugu yangu, kuulizia ulizia, nkatambulishwa kuwa alikua ni family friend wa ndugu yangu tena anaishi jirani na mtaa anaoishi ndugu yangu, alinivutia, nikamwomba namba akakubali, tukawa tunachat, tena cku ingine anaanza yeye kunitext , ndani ya siku 4, siku ya 5, nika-set a date akaja, tukakutana kwenye mgahawa mzuri, mm nkaagiza sprite yeye akaagiza juisi, nkamweleza nia yangu, akaonesha kukubaliana na mm, baada ya hapo akanisindikiza..nkasepa

Sasa nkamwambia aje gheto kwangu apajue alisema atakuja baada ya wiki 1, kabla ya hio siku ya yeye kuja gheto kufika, akanitext akaniambia ana shida ya tsh elf 10 nimtumie, nkamwambia asijali, akija gheto ntampa zaidi ya hiyo tsh elf 10, akasema hapana anaihitaji kwa muda huo, nkamwambia akope sehemu ingine akija gheto hata tsh elf 40 ntampa na nauli ntamrudishia Mara mbili yake..kiuhalisia mm uwezo wa kumpa hata tsh elf 70 nlikuwa nao, Akasema haya..

Tangu siku hiyo alinichunia, SMS zangu hakujibu tena, simu zangu hapokei, na gheto hakuja tena sasa wazee mm kosa langu lilikuwa nn hapo, maana hata nlivomtongoza nlienda kawaida, sikujifanya Nina hela..
Una umri gani? Yaani umeshindwa kutoa buku 10.. Hujui kuwa hiyo ndio Ilikuwa chambo. Haya sasa demu kasepa, juice yako kanywa na nauli ukampa na Utamu umeukosa
 
Huyu mdada nlikutana nae kwenye sherehe ya harusi ya ndugu yangu, kuulizia ulizia, nkatambulishwa kuwa alikua ni family friend wa ndugu yangu tena anaishi jirani na mtaa anaoishi ndugu yangu, alinivutia, nikamwomba namba akakubali, tukawa tunachat, tena cku ingine anaanza yeye kunitext , ndani ya siku 4, siku ya 5, nika-set a date akaja, tukakutana kwenye mgahawa mzuri, mm nkaagiza sprite yeye akaagiza juisi, nkamweleza nia yangu, akaonesha kukubaliana na mm, baada ya hapo akanisindikiza..nkasepa

Sasa nkamwambia aje gheto kwangu apajue alisema atakuja baada ya wiki 1, kabla ya hio siku ya yeye kuja gheto kufika, akanitext akaniambia ana shida ya tsh elf 10 nimtumie, nkamwambia asijali, akija gheto ntampa zaidi ya hiyo tsh elf 10, akasema hapana anaihitaji kwa muda huo, nkamwambia akope sehemu ingine akija gheto hata tsh elf 40 ntampa na nauli ntamrudishia Mara mbili yake..kiuhalisia mm uwezo wa kumpa hata tsh elf 70 nlikuwa nao, Akasema haya..

Tangu siku hiyo alinichunia, SMS zangu hakujibu tena, simu zangu hapokei, na gheto hakuja tena sasa wazee mm kosa langu lilikuwa nn hapo, maana hata nlivomtongoza nlienda kawaida, sikujifanya Nina hela..
Nahisi anaona Kama ulimchukulia Kama yeye ni wa kudanga danga, maana madem ambao watu hukutana nao kwenye mitandao watu ndio huwafanyia hayo uliyokua ukifanyia huyo dada
 
Mamba.JPG

kama Black mamba nakufokea, useme.
 
Umesahau na kale kamtindo kao ka kusingizia ana harusi ya Dada au mdogo wake hvyo anaomba umpe sapoti kidogo.

Hiv harusi ya ndugu yake mi ndy nitoe mchango wakajipikie wakale wao mi nibaki nabungaaa tuuu
Afu unaweza kuta hiyo hela anaenda lipia card doublena hela ya gesti, ili aende na jamaa ake.
 
Huyu mdada nlikutana nae kwenye sherehe ya harusi ya ndugu yangu, kuulizia ulizia, nkatambulishwa kuwa alikua ni family friend wa ndugu yangu tena anaishi jirani na mtaa anaoishi ndugu yangu, alinivutia, nikamwomba namba akakubali, tukawa tunachat, tena cku ingine anaanza yeye kunitext , ndani ya siku 4, siku ya 5, nika-set a date akaja, tukakutana kwenye mgahawa mzuri, mm nkaagiza sprite yeye akaagiza juisi, nkamweleza nia yangu, akaonesha kukubaliana na mm, baada ya hapo akanisindikiza..nkasepa

Sasa nkamwambia aje gheto kwangu apajue alisema atakuja baada ya wiki 1, kabla ya hio siku ya yeye kuja gheto kufika, akanitext akaniambia ana shida ya tsh elf 10 nimtumie, nkamwambia asijali, akija gheto ntampa zaidi ya hiyo tsh elf 10, akasema hapana anaihitaji kwa muda huo, nkamwambia akope sehemu ingine akija gheto hata tsh elf 40 ntampa na nauli ntamrudishia Mara mbili yake..kiuhalisia mm uwezo wa kumpa hata tsh elf 70 nlikuwa nao, Akasema haya..

Tangu siku hiyo alinichunia, SMS zangu hakujibu tena, simu zangu hapokei, na gheto hakuja tena sasa wazee mm kosa langu lilikuwa nn hapo, maana hata nlivomtongoza nlienda kawaida, sikujifanya Nina hela..
"Kimbia fasta, toka nduki we kimbia.."
 
Back
Top Bottom