kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 9,872
- 16,319
Mkuu kunamanzi wanagonga mizinga[emoji2][emoji2][emoji2][emoji57][emoji3][emoji3][emoji3]nouma sana mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kunamanzi wanagonga mizinga[emoji2][emoji2][emoji2][emoji57][emoji3][emoji3][emoji3]nouma sana mkuu
mzee umeoa?Siku nyingine ujiongeze. Alikuomba hiyo elfu kumi ili atumie kama nauli na pia hata anunue chupi mpya ya kujia gheto kwako. Sio kila mzinga unaopigwa ni kuchunwa zingine ni gharama za maandalizi ya mpambano. Sasa we hujui kuwa alitakiwa kununua chupi mpya 5000, Nauli bodaboda 3000, Shaver ya kunyolea sirini 1500, vocha 500. Hapo mwekundu umeisha na hela yote ametumia kwa ajili ya kuja kukupa papuchi na abakiwi hata na chenji ya kunywa maji ndogo.
Kwa ubahili wako ni nyeto tu ndio inapaswa kuwa starehe yako kuu. Mademu waachie wanaojitambua
By Funzadume
Mzinzi Mstaafu
Swali gani hilo? Mtoto wangu ndio anakaribia kuoa mie nimeoa miaka mingi sana iliyopitamzee umeoa?
hahahahahahahahhaa dahHuyo mdada ana takko? Au km huyu hapa chini? View attachment 1535817
Hahaha....Hi wiki Kama ningetoa Hera kote nlikopigwa vibomu
Ningekua nmetoa shilling 200000
Umesahau na kale kamtindo kao ka kusingizia ana harusi ya Dada au mdogo wake hvyo anaomba umpe sapoti kidogo.kijana umekosea uyo demu alikuwa anataka kukutega aone mpo pamoja ilitakiwa umtumie tu yani unafanya kama tatu mzuka zeni baadae lazima angekuja geto sasa wewe kakuona mbabaishaji, ila na nyie dada zetu mmezidi njaa sana utafikiri makwenu amuli ugali kazi kudanga kidigitali si muwe mnaongea tu kwamba munauza papuchi ili mueleweke
We we ni mjinga.Huyu mdada nlikutana nae kwenye sherehe ya harusi ya ndugu yangu, kuulizia ulizia, nkatambulishwa kuwa alikua ni family friend wa ndugu yangu tena anaishi jirani na mtaa anaoishi ndugu yangu, alinivutia, nikamwomba namba akakubali, tukawa tunachat, tena cku ingine anaanza yeye kunitext , ndani ya siku 4, siku ya 5, nika-set a date akaja, tukakutana kwenye mgahawa mzuri, mm nkaagiza sprite yeye akaagiza juisi, nkamweleza nia yangu, akaonesha kukubaliana na mm, baada ya hapo akanisindikiza..nkasepa
Sasa nkamwambia aje gheto kwangu apajue alisema atakuja baada ya wiki 1, kabla ya hio siku ya yeye kuja gheto kufika, akanitext akaniambia ana shida ya tsh elf 10 nimtumie, nkamwambia asijali, akija gheto ntampa zaidi ya hiyo tsh elf 10, akasema hapana anaihitaji kwa muda huo, nkamwambia akope sehemu ingine akija gheto hata tsh elf 40 ntampa na nauli ntamrudishia Mara mbili yake..kiuhalisia mm uwezo wa kumpa hata tsh elf 70 nlikuwa nao, Akasema haya..
Tangu siku hiyo alinichunia, SMS zangu hakujibu tena, simu zangu hapokei, na gheto hakuja tena sasa wazee mm kosa langu lilikuwa nn hapo, maana hata nlivomtongoza nlienda kawaida, sikujifanya Nina hela..
Utangulize kishika papuchiWewe nahisi utakuwa mhenga kama mimi ndio maana ukashtukia mchezo,sisi enzi zetu unaombwa hela baadaye kabisa huko,ila siku hizi kabla ya chochote lazima utangulize hela...
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Background yako na dada ikoje? Ninaamini dada ana akili kukushinda . Alishajua kuwa relationship haina future. Nadhani wewe ni mwanafunzi au ex mwanafunzi . Buying juice na soda is not something you should write home about it. Grow up
acha iyo unakuta unakutana na demu hazipiti siku mbili utasikia baby wiki ijayo siku yangu ya kuzaliwa duh hawa mademu wa kibongo njaa zitawauaUmesahau na kale kamtindo kao ka kusingizia ana harusi ya Dada au mdogo wake hvyo anaomba umpe sapoti kidogo.
Hiv harusi ya ndugu yake mi ndy nitoe mchango wakajipikie wakale wao mi nibaki nabungaaa tuuu
Hahahah hajui maana ya msemo wa mkwele "Ukitaka kula sharti uliwe kidogo...sasa we unataka kula hivi hivi? Haiwezekani!!!"kwamba hujui kosa lako ni nini au umepanga kutupotezea muda tuu hapa!?
Hahahahah hawa wadude papuchi wamezigeuza mitaji. Yani ukigoma kutoa hela inakula kwako!Mimi Kuna Mmoja Nimetoka Kumla Ivo Ivo... Alinambia Anaomba Elfu 20 Nkamwambia Hapa Nna 10 Nyingine Ntakupa Tukikutana, Akakubali Akajichanganya Siku Alivokuja Ndio Nikamla... Sasa Tatizo Ni Katamu, Hivyo Mzee Mzima Sa Ivii Ni Mwendo Wa Kuonga Tu