Huyu mdada anavyonichunia baada ya kumwambia hivi, kosa langu ni nini?

Huyu mdada anavyonichunia baada ya kumwambia hivi, kosa langu ni nini?

Siku nyingine ujiongeze. Alikuomba hiyo elfu kumi ili atumie kama nauli na pia hata anunue chupi mpya ya kujia gheto kwako. Sio kila mzinga unaopigwa ni kuchunwa zingine ni gharama za maandalizi ya mpambano. Sasa we hujui kuwa alitakiwa kununua chupi mpya 5000, Nauli bodaboda 3000, Shaver ya kunyolea sirini 1500, vocha 500. Hapo mwekundu umeisha na hela yote ametumia kwa ajili ya kuja kukupa papuchi na abakiwi hata na chenji ya kunywa maji ndogo.

Kwa ubahili wako ni nyeto tu ndio inapaswa kuwa starehe yako kuu. Mademu waachie wanaojitambua

By Funzadume
Mzinzi Mstaafu
 
mzee umeoa?
 
Wewe nahisi utakuwa mhenga kama mimi ndio maana ukashtukia mchezo,sisi enzi zetu unaombwa hela baadaye kabisa huko,ila siku hizi kabla ya chochote lazima utangulize hela...
 
kijana umekosea uyo demu alikuwa anataka kukutega aone mpo pamoja ilitakiwa umtumie tu yani unafanya kama tatu mzuka zeni baadae lazima angekuja geto sasa wewe kakuona mbabaishaji, ila na nyie dada zetu mmezidi njaa sana utafikiri makwenu amuli ugali kazi kudanga kidigitali si muwe mnaongea tu kwamba munauza papuchi ili mueleweke
 
Wewe ni mzembe sana. Umekuja kufungua uzi kisa shilingi elfu kumi tu? Yani unamwambia una uwezo wa kumtumia hela zaidi ya hiyo lakini unashindwa kutuma elfu 10. Unemuona yeye ni serikali kwamba unalipa PAYE. Yani unamchukulia kama vocha au bidhaa za rejareja.
 
kijana umekosea uyo demu alikuwa anataka kukutega aone mpo pamoja ilitakiwa umtumie tu yani unafanya kama tatu mzuka zeni baadae lazima angekuja geto sasa wewe kakuona mbabaishaji, ila na nyie dada zetu mmezidi njaa sana utafikiri makwenu amuli ugali kazi kudanga kidigitali si muwe mnaongea tu kwamba munauza papuchi ili mueleweke
Umesahau na kale kamtindo kao ka kusingizia ana harusi ya Dada au mdogo wake hvyo anaomba umpe sapoti kidogo.

Hiv harusi ya ndugu yake mi ndy nitoe mchango wakajipikie wakale wao mi nibaki nabungaaa tuuu
 
Huyu mdada nlikutana nae kwenye sherehe ya harusi ya ndugu yangu, kuulizia ulizia, nkatambulishwa kuwa alikua ni family friend wa ndugu yangu tena anaishi jirani na mtaa anaoishi ndugu yangu, alinivutia, nikamwomba namba akakubali, tukawa tunachat, tena cku ingine anaanza yeye kunitext , ndani ya siku 4, siku ya 5, nika-set a date akaja, tukakutana kwenye mgahawa mzuri, mm nkaagiza sprite yeye akaagiza juisi, nkamweleza nia yangu, akaonesha kukubaliana na mm, baada ya hapo akanisindikiza..nkasepa

Sasa nkamwambia aje gheto kwangu apajue alisema atakuja baada ya wiki 1, kabla ya hio siku ya yeye kuja gheto kufika, akanitext akaniambia ana shida ya tsh elf 10 nimtumie, nkamwambia asijali, akija gheto ntampa zaidi ya hiyo tsh elf 10, akasema hapana anaihitaji kwa muda huo, nkamwambia akope sehemu ingine akija gheto hata tsh elf 40 ntampa na nauli ntamrudishia Mara mbili yake..kiuhalisia mm uwezo wa kumpa hata tsh elf 70 nlikuwa nao, Akasema haya..

Tangu siku hiyo alinichunia, SMS zangu hakujibu tena, simu zangu hapokei, na gheto hakuja tena sasa wazee mm kosa langu lilikuwa nn hapo, maana hata nlivomtongoza nlienda kawaida, sikujifanya Nina hela..
We we ni mjinga.
 
Background yako na dada ikoje? Ninaamini dada ana akili kukushinda . Alishajua kuwa relationship haina future. Nadhani wewe ni mwanafunzi au ex mwanafunzi . Buying juice na soda is not something you should write home about it. Grow up
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Umesahau na kale kamtindo kao ka kusingizia ana harusi ya Dada au mdogo wake hvyo anaomba umpe sapoti kidogo.

Hiv harusi ya ndugu yake mi ndy nitoe mchango wakajipikie wakale wao mi nibaki nabungaaa tuuu
acha iyo unakuta unakutana na demu hazipiti siku mbili utasikia baby wiki ijayo siku yangu ya kuzaliwa duh hawa mademu wa kibongo njaa zitawaua
 
Mimi Kuna Mmoja Nimetoka Kumla Ivo Ivo... Alinambia Anaomba Elfu 20 Nkamwambia Hapa Nna 10 Nyingine Ntakupa Tukikutana, Akakubali Akajichanganya Siku Alivokuja Ndio Nikamla... Sasa Tatizo Ni Katamu, Hivyo Mzee Mzima Sa Ivii Ni Mwendo Wa Kuonga Tu
Hahahahah hawa wadude papuchi wamezigeuza mitaji. Yani ukigoma kutoa hela inakula kwako!
 
Back
Top Bottom