Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
Shida sio kutoa hela, mimi sio mchoyo wala sio mbahili, ila unajua baadhi ya nyie wadada MNA tabia moja, kuna game mnacheza makusudi kabisa tena mkiwa na nia mbaya, unatongozwa na mkaka, kichwani kwako unajua kabisa kuwa moyo wako haumpendi huyo kaka na hujavutiwa nae kingono, ila unajifanya umemkubali ili ukimuomba hela mara kwa mara asikushtukie, na unajua kabisa kuwa huyu MTU anavonipa hela anategemea sex in return, ila kwa vile ushaamua kuwa humpi papuchi, hivyo unakula hela zake weee, huku akikuita gheto unampiga kalenda..kwa kisingizio kuwa uko busy, au bado mapema sana, au msubiri mpaka ndoa ndo mfanye..mpaka mwanaume aje kushtuka kuwa hapendwi na ametapeliwa, utakuta laki 8 ishamtoka na papuchi hajapata, sasa si hasara iyo kwa mwanaume..
Wakati ww ukila pesa za boya, utakuta una mwanaume unaempenda , ambae unampa papuchi ya bure kwa muda wowote anaoutaka, SHIT!! tena utakuta hela unazochuna huku unaenda MPA huyo mwanaume unaempenda.. Tuttyfruity Jael yna2
Huu ubwege sasa demu nenda nae chap kwa haraka achana na uzamani zamani, demu mgumu wa papuchi achana nae, jitahidi mkutane viwanja anavyovipenda kutoka, uwe na pesa, mdomo, mobility na flexibility then ulalamike hapo unakuwa kidampa sana!! Mwamba uwe Mwamba