Huyu mdada anavyonichunia baada ya kumwambia hivi, kosa langu ni nini?

Huyu mdada anavyonichunia baada ya kumwambia hivi, kosa langu ni nini?

Siku nyingine ujiongeze. Alikuomba hiyo elfu kumi ili atumie kama nauli na pia hata anunue chupi mpya ya kujia gheto kwako. Sio kila mzinga unaopigwa ni kuchunwa zingine ni gharama za maandalizi ya mpambano. Sasa we hujui kuwa alitakiwa kununua chupi mpya 5000, Nauli bodaboda 3000, Shaver ya kunyolea sirini 1500, vocha 500. Hapo mwekundu umeisha na hela yote ametumia kwa ajili ya kuja kukupa papuchi na abakiwi hata na chenji ya kunywa maji ndogo.

Kwa ubahili wako ni nyeto tu ndio inapaswa kuwa starehe yako kuu. Mademu waachie wanaojitambua

By Funzadume
Mzinzi Mstaafu

Nimecheka kifala
 
Acha mkuu,YAANI mamboo!
Naomba buku
Halafu wa kuomba buku anaharibu hata dhana nzima ya udangaji.

Naweza kumkatalia kwa sababu kanionesha dharau kuniomba hela ndogo hivyo!

Kuna siku nilikuwa likizo Dar, wadogo zangu wananitembeza clubs za Dar, sasa tumezunguka tumeishia hapa Shoppers Plaza kwa juu pale US Embassy upande wa pili.

Sasa tumefurahi, tumecheza muziki, tumekunywa, tunatoka.

Ile natoka, baunsa kama kaninusa nina hela, kanililia shida.

Wenzake wakawa wanamzodoa. Mimi huwa najiuliza maswali mawili tu nikiombwa hela.

Ninaweza kusaidia? N akama ninaweza anayeniomba anastahili kusaidiwa?

Maana siwezi kutoa kama sina au nimebanwa, na pia, siwezi kutoa kwa mtu asiyestahili au ambaye anaweza kujidunga madawa.

Basi, hela nilikuwa nayo - wadogo zangu waliniambia "your money is no good here, tutakulipia kila kitu kaka mkubwa ufurahi likizo"-. Nikajipapasa nikakuta nina elfu kumi kumi tupu, nikampa elfu kumi baunsa.

Akafurahi.

Sasa mtu anayetembea na elfu kumi kumi tupu kama hivyo, kuanza kumuomba elfu anaweza kuona umemshusha daraja 🙂
 
Sasa demu ambaye anakuja kukupa utelezi umeshindwa kumtumia buku 10? Ni PM namba yake.
 
Hahahaaa noumaaa
 
Duh kweli huu ndiyo uchumi wa kati, yaani sh 10,000 hadi aifate umpige miti weee, vipi siku ukimpa hata laki 1, nahisi utataka uondoke nayo😀😀, huenda kweli alikwama na alihitaji msaada wako, msifikirie kupigwa pesa mda wote jamani.
 
Bahili balaa, afu ubahili wake wa kipuuzi. Ni heri angetafuta namna ya kumnyima au angemute bila kujibu hiyo msg (kama ilikuwa ni msg kuliko utopolo aliomwambia huyo dada.
Nina uhakika huyo dada kakuona bonge moja la kolo AlphaMale

Acha huyo mdada anione kolo, yani mm ndo nifanywe fala kwa kutapeliwa hela, halafu papuchi ya bure apewe kidume mwingine, hilo swala halipo, mwanaume ukihonga hela nyingi baada ya kutongoza, demu anajua kabisa unatoa hela ili upate papuchi yake, lkn kwa vile hakupendi, basi papuchi hupewi, na hela umetoa Depal
 
Duh kweli huu ndiyo uchumi wa kati, yaani sh 10,000 hadi aifate umpige miti weee, vipi siku ukimpa hata laki 1, nahisi utataka uondoke nayo😀😀, huenda kweli alikwama na alihitaji msaada wako, msifikirie kupigwa pesa mda wote jamani.

Mjini hapa dada yangu, wanawake wengi sahiv wamekuwa na roho mbaya sana, walishaumizwa kwenye mahusiano yao yaliopita, hivo wanatafta mwanaume boya wa kumlipizia kisasi, unachunwa pesa wee hlf unakimbiwa na papuchi hupewi

Kwa sisi wanaume, ukiwa tongoza tongoza bora uwe handsome ndo una afadhali, ila ukiwa na average looks au uwe na sura mbaya na unatongoza ovyo, kwa hawa wadada wa sahivi, cha moto utakiona financial services
 
Huyu mdada nlikutana nae kwenye sherehe ya harusi ya ndugu yangu, kuulizia ulizia, nkatambulishwa kuwa alikua ni family friend wa ndugu yangu tena anaishi jirani na mtaa anaoishi ndugu yangu, alinivutia, nikamwomba namba akakubali, tukawa tunachat, tena cku ingine anaanza yeye kunitext , ndani ya siku 4, siku ya 5, nika-set a date akaja, tukakutana kwenye mgahawa mzuri, mimi nikaagiza sprite yeye akaagiza juisi, nkamweleza nia yangu, akaonesha kukubaliana na mm, baada ya hapo akanisindikiza..nkasepa

Sasa nkamwambia aje gheto kwangu apajue alisema atakuja baada ya wiki 1, kabla ya hio siku ya yeye kuja gheto kufika, akanitext akaniambia ana shida ya tsh elf 10 nimtumie, nkamwambia asijali, akija gheto ntampa zaidi ya hiyo Tsh. elf 10, akasema hapana anaihitaji kwa muda huo, nkamwambia akope sehemu ingine akija gheto hata tsh elf 40 ntampa na nauli ntamrudishia Mara mbili yake..kiuhalisia mm uwezo wa kumpa hata tsh elf 70 nlikuwa nao, Akasema haya.

Tangu siku hiyo alinichunia, SMS zangu hakujibu tena, simu zangu hapokei, na gheto hakuja tena sasa wazee mm kosa langu lilikuwa nn hapo, maana hata nlivomtongoza nlienda kawaida, sikujifanya Nina hela..
Shida ya under 20 ndo hii, mwenyewe kimoja nimekichomolea hivo hivo
 
Elfu 10 ilikushinda ? Ungempa tu mkuu hata angepotea sio mbaya!

Mdada anakuona msanii
Anaona humuamini
Anaona unataka kumfanya ndo maana unafoc aje ghetto
Kwaio mtu asipopewa 10,000 anakua haaminiki?
 
Nataka kusikia ukisema eeh ! sema eeh eeh eeh eeh...
A aagh noma sana!
 
Mbona sijaona sehem aliyokwambia una kosa au we kilicho kuuma ni ndege kutokuingia kwenye mtego ?
 
Back
Top Bottom