martinezstavo
JF-Expert Member
- Jun 30, 2020
- 735
- 1,552
Huyo wa 10k tu unachichima hivyo ni wazi unadumisha na kutekeleza kwa vitendo Irani ya wanaume safi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mdada nlikutana nae kwenye sherehe ya harusi ya ndugu yangu, kuulizia ulizia, nkatambulishwa kuwa alikua ni family friend wa ndugu yangu tena anaishi jirani na mtaa anaoishi ndugu yangu. Alinivutia, nikamwomba namba akakubali, tukawa tunachat, tena siku ingine anaanza yeye kunitext , ndani ya siku 4, siku ya 5, nika-set a date akaja
Tukakutana kwenye mgahawa mzuri, mimi nikaagiza sprite yeye akaagiza juisi, nkamweleza nia yangu, akaonesha kukubaliana na mimi, baada ya hapo akanisindikiza..nkasepa
Sasa nikamwambia aje gheto kwangu apajue alisema atakuja baada ya wiki 1, kabla ya hiyo siku ya yeye kuja gheto kufika, akanitext akaniambia ana shida ya tsh elf 10 nimtumie, nkamwambia asijali, akija gheto ntampa zaidi ya hiyo Tsh. elf 10, akasema hapana anaihitaji kwa muda huo
Nikamwambia akope sehemu ingine akija gheto hata tsh elf 40 ntampa na nauli ntamrudishia Mara mbili yake..kiuhalisia mm uwezo wa kumpa hata tsh elf 70 nlikuwa nao, Akasema haya.
Tangu siku hiyo alinichunia, SMS zangu hakujibu tena, simu zangu hapokei, na gheto hakuja tena sasa wazee mm kosa langu lilikuwa nn hapo, maana hata nlivyomtongoza nlienda kawaida, sikujifanya Nina hela..
Ugumu ni pale unapojiuliza, hizo shida huwa anatatuaje kama hakuna wa kumbomu? Au ndo ujasiriamali? Ukitongozwa, unageuza ajira?Acheni kujitetemesha nyie vijana, toeni hela...
Ameona kua hukumuamini kumtumia hiyo elfu 10
Kama ulikua na uwezo hata wakumpa elfu 70 kwanini hukumtumia hiyo elfu 10 aliyokuomba?
Amejiridhisha kua wewe humuamini japo uamuzi wake ni wa haraka sana na ni mapema sana.
Halafu anafika 40 yuko single anaanza kumsingizia shetani!Mademu siku hizi hawanyimi namba, ukimtongoza tu tayari anasikia njaa hapo.... na mama’ke anaumwa!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]kwani utaiacha huko?Haha ndo kauli zao hizi atakuambia ni muhimu kufahamiana kila mmoja anapoishi , ukienda hauna chako tena .
Ni hap . Tz tuMademu siku hizi hawanyimi namba, ukimtongoza tu tayari anasikia njaa hapo hapo.... na mama’ke anaumwa!
Amekuona hauna malengo nae na pesa pia hauna yani elfu 10 tu imekushinda ? Ukiingia kwa style iyo tenga pesa ya kuonga!!Huyu mdada nlikutana nae kwenye sherehe ya harusi ya ndugu yangu, kuulizia ulizia, nikatambulishwa kuwa alikuwa ni family friend wa ndugu yangu tena anaishi jirani na mtaa anaoishi ndugu yangu. Alinivutia, nikamwomba namba akakubali, tukawa tunachat, tena siku ingine anaanza yeye kunitext , ndani ya siku 4, siku ya 5, nika-set a date akaja
Tukakutana kwenye mgahawa mzuri, mimi nikaagiza sprite yeye akaagiza juisi, nikamweleza nia yangu, akaonesha kukubaliana na mimi, baada ya hapo akanisindikiza..nikasepa
Sasa nikamwambia aje gheto kwangu apajue alisema atakuja baada ya wiki 1, kabla ya hiyo siku ya yeye kuja gheto kufika, akanitext akaniambia ana shida ya tsh elf 10 nimtumie, nikamwambia asijali, akija gheto intampa zaidi ya hiyo Tsh. elf 10, akasema hapana anaihitaji kwa muda huo
Nikamwambia akope sehemu ingine akija gheto hata tsh elf 40 nitampa na nauli nitamrudishia mara mbili yake..kiuhalisia mimi uwezo wa kumpa hata tsh elf 70 nilikuwa nao, akasema haya.
Tangu siku hiyo alinichunia, SMS zangu hakujibu tena, simu zangu hapokei, na gheto hakuja tena sasa wazee mimi kosa langu lilikuwa nini hapo, maana hata nlivyomtongoza nilienda kawaida, sikujifanya nina hela..
Huiachi huko lakini ndo unakuwa umeshajiharibia tayari[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]kwani utaiacha huko?
Bora tu hujatuma na amekupunguzia mengi na makubwa zaidi usijilaumu mkuuHuyu mdada nlikutana nae kwenye sherehe ya harusi ya ndugu yangu, kuulizia ulizia, nikatambulishwa kuwa alikuwa ni family friend wa ndugu yangu tena anaishi jirani na mtaa anaoishi ndugu yangu. Alinivutia, nikamwomba namba akakubali, tukawa tunachat, tena siku ingine anaanza yeye kunitext , ndani ya siku 4, siku ya 5, nika-set a date akaja
Tukakutana kwenye mgahawa mzuri, mimi nikaagiza sprite yeye akaagiza juisi, nikamweleza nia yangu, akaonesha kukubaliana na mimi, baada ya hapo akanisindikiza..nikasepa
Sasa nikamwambia aje gheto kwangu apajue alisema atakuja baada ya wiki 1, kabla ya hiyo siku ya yeye kuja gheto kufika, akanitext akaniambia ana shida ya tsh elf 10 nimtumie, nikamwambia asijali, akija gheto intampa zaidi ya hiyo Tsh. elf 10, akasema hapana anaihitaji kwa muda huo
Nikamwambia akope sehemu ingine akija gheto hata tsh elf 40 nitampa na nauli nitamrudishia mara mbili yake..kiuhalisia mimi uwezo wa kumpa hata tsh elf 70 nilikuwa nao, akasema haya.
Tangu siku hiyo alinichunia, SMS zangu hakujibu tena, simu zangu hapokei, na gheto hakuja tena sasa wazee mimi kosa langu lilikuwa nini hapo, maana hata nlivyomtongoza nilienda kawaida, sikujifanya nina hela..
Enhe nambie inakuwaje ?Sio kweli Tansy
nilipomwambia tu kwamba namtaka, hapohapo akaniomba nimpe pesa ya vocha wakati mie ndio nimechukua namba zake. Nikamjibu nitapiga Mimi, akanambia nipe pesa ya kula basi!!.nikamjibu sina sasa hivi nitakurushia baadae. Hadi Leo sijamfuatilia tukikutana najifanya nipo busy.