Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
Aisee nimecheka balaa😂😂😂Jamaa kauzu sana eti kopa ila ukija nitakupa zaidi, dada akajua huyu anataka akanigegede kabla jua halijazama. Nimecheka sana aisee, na hawa madada mapema mapema unaanza kutangaza njaa yani hata hatujamaliza mwezi ushaanza nitangazia shida haki.