Huyu mdada anavyonichunia baada ya kumwambia hivi, kosa langu ni nini?

Sikushikii panga wala, you are free to take it or leave it ila haijawahi tokea! Ukiwa mtu wa kushobokea kila pisi lazma ukumbane na zahama😂
Mimi ni introvert sugu nadhani unajua tabia zetu ila nisikufiche kila sehem nayopoint lazima nipigwe kizinga na kama kupoint mimi ndio bapoint kweli kweli
 
Mimi ni introvert sugu nadhani unajua tabia zetu ila nisikufiche kila sehem nayopoint lazima nipigwe kizinga na kama kupoint mimi ndio bapoint kweli kweli
Dah basi una kigundu chalyangu😅 tatizo una point ma sley kwin, tafta kuku wa kienyeji wale bila make up wa beauty tu 😎 ukishobokea wapaka cream utaumia!
 
Safi sana mwanangu ungetuma ndo usingemuona bora hivyo maana ukiomba utasikia bado mapema lakini wao kuomba hela huwa hawaoni mapema
 
Ungeliwa pesa na kukaushiwa bora umekataa kutuma hela..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani ni hivi, hakuna kutoa pesa kwa manzi asiye na muda flani na wewe. Toa tu kwa yule anayeeleweka yuko na wewe kwa lolote wakati wowote.
 
Kosa lako ni kutaka kusaidia pale utaposaidiwa!! Sio reliable kwake. We ungempa tu hilo lateni afu akija unampiga na 20K. Mzigo ungekula na ungeendelea kutunukiwa tu ukihitaji. Manzi wengi wanapenda jamaa ambaye wakilia wanasikilizwa na kusaidiwa!! Sasa imagine pengine alikuwa anataka 10k anunue umeme. We unamwambia mpk aje kwako. So akae giza mpk akija kwako!!! Tuwasaidie tu pale wanapohitaji na wakizidisha njaa tuwafyekelee mbali!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…