Huyu mdada kaifanya bongo movie irudi DUNIANI

Huyu mdada kaifanya bongo movie irudi DUNIANI

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,794
Reaction score
5,352
Nadhani sijaeleweka!! ila ukimtoa kanumba (ME),gabo(ME),monalisa(KE) na riyama(KE) huyu ndio actor wangu wa bongo movie kwa sasa mpaka 2030....."DUNIA Anaitwa hellena aka cindy kakolanya(ke)
 
Attachments

  • vlcsnap-2025-03-04-02h30m58s313.png
    vlcsnap-2025-03-04-02h30m58s313.png
    149.8 KB · Views: 2
  • vlcsnap-2025-03-04-02h34m00s352.png
    vlcsnap-2025-03-04-02h34m00s352.png
    419.3 KB · Views: 2
  • vlcsnap-2025-03-04-02h37m59s886.png
    vlcsnap-2025-03-04-02h37m59s886.png
    744.7 KB · Views: 1
  • vlcsnap-2025-03-04-02h39m21s016.png
    vlcsnap-2025-03-04-02h39m21s016.png
    778.9 KB · Views: 1
  • vlcsnap-2025-03-04-02h42m19s264.png
    vlcsnap-2025-03-04-02h42m19s264.png
    846.7 KB · Views: 1
Inavutia. Siku wakiacha kutengeneza movie kwa mazoea na kuelewa soko la Dunia linataka nini huenda Bongo movie ikapiga hatua kubwa zaidi.
 
Wabongo wajikote kwenye utunzi wa story zinazoeleweka. Wao wameweka juhudi kwenye kushoot locatiob kali kali, kuvaa mawig na kujipodoa.
Angalia Mpali imerun for years lakini story inaeleweka.
Sasa njoo akina LAMATA Story zao zina stuck anashikilia katukio kamoja mwaka mzima
 
Anafanya vizuri, ila sio kwa kiwango hicho, Lol
 
Nadhani sijaeleweka!! ila ukimtoa kanumba (ME),gabo(ME),monalisa(KE) na riyama(KE) huyu ndio actor wangu wa bongo movie kwa sasa mpaka 2030....."DUNIA Anaitwa hellena aka cindy kakolanya(ke)
Umelipia hii promo? Usipende vya bure
 
Siku hivi series za YouTube angalau Zina Bamba
Chumvi nyingi
Mwakatobe
Kp na zebuu
Chado master

Angalau wamerudisha heshima ya series kazi zao NI nzuri kuliko hata za maisha magic na Azam two
 
Nadhani sijaeleweka!! ila ukimtoa kanumba (ME),gabo(ME),monalisa(KE) na riyama(KE) huyu ndio actor wangu wa bongo movie kwa sasa mpaka 2030....."DUNIA Anaitwa hellena aka cindy kakolanya(ke)
Analika. PIMP wake ni nani au tumcheck Stive nyerere
 
Back
Top Bottom