Financial Analyst JF-Expert Member Joined Nov 27, 2017 Posts 2,404 Reaction score 5,682 May 21, 2026 #1 AIsee fahima what happened😬 👇
C Chivundu Platinum Member Joined Dec 17, 2012 Posts 14,424 Reaction score 30,799 May 21, 2026 #2 Wasomali kibao toka Kenya, wanapiga hizo hela za "Childcare" huko Marekani! Alitaka kusepa na mpunga mzito sana bidada! 😊 Sema Marekani, ukifanya unyambilisi lazima watakudaka tuu! Marekani kutapeli pesa, wasikujue sijui iweje aisee!
Wasomali kibao toka Kenya, wanapiga hizo hela za "Childcare" huko Marekani! Alitaka kusepa na mpunga mzito sana bidada! 😊 Sema Marekani, ukifanya unyambilisi lazima watakudaka tuu! Marekani kutapeli pesa, wasikujue sijui iweje aisee!
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 35,566 Reaction score 104,386 May 21, 2026 #3 Pesa ndefu