Huyu mdogo wangu ananitia mashaka

Huyu mdogo wangu ananitia mashaka

Muacha kwanza tu. Itafika tu wakati wake. Kama anafanya vizuri kwenye masomo muache afanye uchaguzi wake.
Hao ndio wakianza kutupia hao utamchukia. Mvumilie kwanza ukimsikilizia
 
Kesi Kama hizo, Tumia TU akili dada angu.

Nakupa mbinu,
Wee mwnyw Kama dada ake jaribu kukaa kihasara hasara kdg Kama unamtega kingono uone atarespond vipi.

(NB: Sio kwa Nia ya kusex nae,
Bali kwa Lengo zuri tu la kumstua hisia zake.)

Ukiona,
Hamna response wasiliana na wazee wamuwaishe hospitali haraka Sana.

Mwanaume alokamilika akiona maungo flani flani hayajakaa mahala pake,
lazma tu adinde hata Kama Ni ndugu mapacha wa kuzaliwa tumbo moja[emoji4]
Siwezi kufanya ivo nipe mbinu nyingine 🙁
 
Wewe sema tu, "Namhisi mdogo wangu kuwa shoga" unazungukaaa, saizi hatutaki mambo mengi, tupo bize.
 
Yni jamii ndo ilipofikia hapa kuhalalisha zinaa wanaona ni kitu cha kawaida mno kma ww ushazoea ayo mambo ni maisha yako ulojichagulia muache dogo ana khofu ya Mungu huyo

Dunia ya leo ilipofikia
ukiacha kutenda.dhambi unaonekana mshamba
Sio ivo dunia ya sasa watoto wanaharibikiwa sna asa watoto wa kiume. Lengo langu ni zuri tu kwake. Siezi kubali kuona mdogo wngu anaharibikiwa
 
Nna mdogo wngu wa kiume ana miaka 19. Handsome ana akili. Watoto wa kike hawaishi kujigonga wanamfata hadi nyumbani kisingizio wanakuja kusoma. Watoto wazurii wanamfata lakin hakuna ata goli kutoka kwa mdogo wngu 🙁

Kuna kipndi nilikua nikimkuta na msichana nawaambia wote kwa pamoja "mnapendeza sna mkiwa couple" nafanya yote hya mdogo apige hatua lakin wapi hamna ktu . Nilishawahi mpk kumwambia msichana mmoja kua mdogo wngu anakupenda ila anaogopa kukwambia. Yule mtoto akamwambia lakn mdogo wangu akamkatalia ati sio kweli mpk yule mtoto akaacha kabisa kuwasilana nae na nyumbani akaacha kuja

Ukiongea nae kuhusu swala ili anakua mkali ananambia kwan we huna maisha yko mpk unafatilia yngu niache na maisha yangu kla kitu kina mda wake!!

Mimi lengo langu ata sio ati aanzishe uhusiano wa kudumu nataka tu kwa umri wke ajichanganye na wasichana apige tu mechi yaishe. Lakin yee hataki kabisa kusikia habari hizo. Nashangaa sna na kwa umri wke hormones ndo zinakua ktk peak lakin yee yko tofauti kabisa. Hivi mwanaume aliekamilika anaeza kukaa na wanawake wazuri halafu asifanye kitu? Au nifanyaje ili na yeye aweze kujichanganya na watoto wa kike?
Miaka 29 bado mdogo sana mm nlisnza na 24
 
mleta mada wee ni ke au me? ko kisa mdogo wako hana time na mademu ndo unataka umsingizie ni shoga? una mawazo potofu kingese, unastahili ugongwe makofi, akili zikukae sawa.

kwani kuna shida gani asipokuwa na demu? ilimradi mashine inafanya kazi.
 
Huyu mtu ana point Ila watu sijui hawamwelewi, dogo inawezekana akawa siyo ridhiki ndiyo wasiwasi wake.
Watu wanajifanya hawaelewi mbaya zaidi kuna siku tulikua tunazungumzia kuhusu kuoa akasema "sitakuja kuoa kwanza I don't believe in love" pia siku nyingine akarepost instastory ya rafiki amempost anacheza nikagundua movements zke hazipo normal lakin sitaki kuamini chochote kibaya kuhusu yeye nataka niamini tu ni makuzi yke ndo yapo ivo
 
Dogo ana miaka 19 na ni mdogo wako kabisa hivyo wewe una miaka 21.
Achana na ushauri wa wadau hapo juu, kama upo Tukuyu nipe namba zako tuyajenge.
 
mleta mada wee ni ke au me? ko kisa mdogo wako hana time na mademu ndo unataka umsingizie ni shoga? una mawazo potofu kingese, unastahili ugongwe makofi, akili zikukae sawa.

kwani kuna shida gani asipokuwa na demu? ilimradi mashine inafanya kazi.
We nae mnataka niongee vitu ambavo nilikua sitaki kuandika hapa. Ukikaa nae kuna mda unaona kabisa anajaribu kucontrol mimics zke lakin saa nyingine anashindwa zinatokea tu automatic. Kama tatizo lingekua ni Kutokua na girlfriend tu nisinge umiza kichwa
 
Dogo ana miaka 19 na ni mdogo wako kabisa hivyo wewe una miaka 21.
Achana na ushauri wa wadau hapo juu, kama upo Tukuyu nipe namba zako tuyajenge.
Ila JF bhana 😂
Umetumia kigezo gani kujua umri wa mleta mada?
 
Ila JF bhana 😂
Umetumia kigezo gani kujua umri wa mleta mada?
Mdogo wake ana umri wa miaka 19 hivyo yeye atakuwa juu miaka 2 hapo ukijumuisha umri wa mlete Mada sawa na miaka 21.

Na ikumbukwe mwandiko wa mleta Mada ni mwandiko wa mtu mwenye level ya Elimu Kati ya Form 4 au 6. Hivyo ni mwandiko wa kijana ambae damu inachemka ukilinganisha na Mada yake kuhamasisha mdogo wake Achakatwe.
 
Back
Top Bottom