Huyu mdogo wangu ananitia mashaka

Huyu mdogo wangu ananitia mashaka

Wapo wanaume wa hivyo hawana hobby na mademu hata iwaje kwa wakati fulani. Sio swala la Hormones wala nini!

Atafika muda turbo zitafunguka mtajuta kuwa ndugu yenu.
Once was, ila turbo zilizopo funguka nilichapa mbususu za kila aina hadi nilipokuja nasa kwa toto moja la singida nikatulia tena[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Nna mdogo wngu wa kiume ana miaka 19. Handsome ana akili. Watoto wa kike hawaishi kujigonga wanamfata hadi nyumbani kisingizio wanakuja kusoma. Watoto wazurii wanamfata lakin hakuna ata goli kutoka kwa mdogo wngu 🙁

Kuna kipndi nilikua nikimkuta na msichana nawaambia wote kwa pamoja "mnapendeza sna mkiwa couple" nafanya yote hya mdogo apige hatua lakin wapi hamna ktu . Nilishawahi mpk kumwambia msichana mmoja kua mdogo wngu anakupenda ila anaogopa kukwambia. Yule mtoto akamwambia lakn mdogo wangu akamkatalia ati sio kweli mpk yule mtoto akaacha kabisa kuwasilana nae na nyumbani akaacha kuja

Ukiongea nae kuhusu swala ili anakua mkali ananambia kwan we huna maisha yko mpk unafatilia yngu niache na maisha yangu kla kitu kina mda wake!!

Mimi lengo langu ata sio ati aanzishe uhusiano wa kudumu nataka tu kwa umri wke ajichanganye na wasichana apige tu mechi yaishe. Lakin yee hataki kabisa kusikia habari hizo. Nashangaa sna na kwa umri wke hormones ndo zinakua ktk peak lakin yee yko tofauti kabisa. Hivi mwanaume aliekamilika anaeza kukaa na wanawake wazuri halafu asifanye kitu? Au nifanyaje ili na yeye aweze kujichanganya na watoto wa kike?
Siku ukiambiwa kafunua sket za vijukuu vya samia na anatakiwa akale 30, usianze kuomba ushauri hapa.
 
Ngoja nimpe ushuhuda kidogo mtoa mada japo mada zake nyingi hua na ukakasi na hua nahisi ni story tu lakini hazina uhalisia. (No offense intended)

Umahiri wangu golini ulinifanya kuwa kipenzi cha wadada werembo na kutoka sehemu mbalimbali mashuleni na hata mitaani.

Pia kuachilia soka nilikua math- wiz in O-level na high school mpaka chuo lakini sikuweza kuonja mbususu na nilikua naogopa sana mahusiano ya kimapenzi na wanawake japo nilikua napenda kupiga nao story sana na hasa za mapenzi.

Maisha yaliendelea hivyo mpaka mwaka wangu wa kwanza chuo. Mwaka wa pili nilikutana na brother mmoja aliekua kama mentor wangu wa maswala ya kimasomo na mambo mengine nje ya shule. Huyu masta mpaka leo ni [emoji91][emoji91][emoji91], aliwahi nambia mpaka kipindi kile kua alikua chakata mbususu zaidi ya 300.

To cut long story short, huyu mwamba alinipa hints ndogondogo katika suala la kuchakata na pia alinifundiaha matumizi ya mkongo na madawa mangine zaidi ya ajabu ajabu.Ahh from there nilianza kula mbususu mdogo mdogo up to day.

Kwa ushuhuda huo mfupi, nakuambia tu mkuu, kama mdogo wako hana matatizo ya homoni, basi atabadilika na ataanza kuchakata mbususu hadi naamini mtaakalisha kama familia na utaleta tena uzi humu kutoa ushuhuda.

Pia watu kama hawa mnaosema ni watanashati, sijui wadada wanajipeleka hua wanakula sana mishangazi ( yaani watu wazima ) na ukishakula hiyo mishangazi hivi visichana utaviona vitoto na hutovitamani kamwe[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Labda atakuwa anajichukulia Sheria mkononi that's why hana mzuka na mademu. Ila ni mtu mzima tayari so ana maamuzi yake usiyaingilie. Showing concern is a good thing ila usimpush kuishi kama unavyotaka. Atakapoona anataka kuchuja atachuja tu.
Usihofu na mawazo ya kuwa mdogo wako atakuwa shoga yaondoe!!
 
Kuna siku itafika Hadi mtamuwekea kikao Cha familia Cha kumsimamisha spidi...
 
Nna mdogo wngu wa kiume ana miaka 19. Handsome ana akili. Watoto wa kike hawaishi kujigonga wanamfata hadi nyumbani kisingizio wanakuja kusoma. Watoto wazurii wanamfata lakin hakuna ata goli kutoka kwa mdogo wngu 🙁

Kuna kipndi nilikua nikimkuta na msichana nawaambia wote kwa pamoja "mnapendeza sna mkiwa couple" nafanya yote hya mdogo apige hatua lakin wapi hamna ktu . Nilishawahi mpk kumwambia msichana mmoja kua mdogo wngu anakupenda ila anaogopa kukwambia. Yule mtoto akamwambia lakn mdogo wangu akamkatalia ati sio kweli mpk yule mtoto akaacha kabisa kuwasilana nae na nyumbani akaacha kuja

Ukiongea nae kuhusu swala ili anakua mkali ananambia kwan we huna maisha yko mpk unafatilia yngu niache na maisha yangu kla kitu kina mda wake!!

Mimi lengo langu ata sio ati aanzishe uhusiano wa kudumu nataka tu kwa umri wke ajichanganye na wasichana apige tu mechi yaishe. Lakin yee hataki kabisa kusikia habari hizo. Nashangaa sna na kwa umri wke hormones ndo zinakua ktk peak lakin yee yko tofauti kabisa. Hivi mwanaume aliekamilika anaeza kukaa na wanawake wazuri halafu asifanye kitu? Au nifanyaje ili na yeye aweze kujichanganya na watoto wa kike?
Mwache kwanza balehe yake haijakomaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ana hasara ya kuwa na ndugu mjinga kama wewe,ni hilo tu
 
We nae mnataka niongee vitu ambavo nilikua sitaki kuandika hapa. Ukikaa nae kuna mda unaona kabisa anajaribu kucontrol mimics zke lakin saa nyingine anashindwa zinatokea tu automatic. Kama tatizo lingekua ni Kutokua na girlfriend tu nisinge umiza kichwa
Dada nimekuelewa vizuri sana lakini nashangaa kuona watanzania wengi wamekuwa wajinga na uelewa mdogo kiasi kwamba jambo dogo kama hili linawashinda kubaini kusudio lako?

Sasa fanya hivi tafuta marafiki zake yeyote kwa jinsia yeyote kwanza halafu waweke karibu kwa kushare nao vitu mbali mbali ili uweze kumpata yupi unaye weza kufanya naye kazi yako ya kipelelezi kumuhusu dogo kwa ushirikiano, nadhan kuanzia hapo unaweza pata pa kuanzia maana huwez pata ushirikiano kupitia yeye mweyewe.
 
Nna mdogo wngu wa kiume ana miaka 19. Handsome ana akili. Watoto wa kike hawaishi kujigonga wanamfata hadi nyumbani kisingizio wanakuja kusoma. Watoto wazurii wanamfata lakin hakuna ata goli kutoka kwa mdogo wngu 🙁

Kuna kipndi nilikua nikimkuta na msichana nawaambia wote kwa pamoja "mnapendeza sna mkiwa couple" nafanya yote hya mdogo apige hatua lakin wapi hamna ktu . Nilishawahi mpk kumwambia msichana mmoja kua mdogo wngu anakupenda ila anaogopa kukwambia. Yule mtoto akamwambia lakn mdogo wangu akamkatalia ati sio kweli mpk yule mtoto akaacha kabisa kuwasilana nae na nyumbani akaacha kuja

Ukiongea nae kuhusu swala ili anakua mkali ananambia kwan we huna maisha yko mpk unafatilia yngu niache na maisha yangu kla kitu kina mda wake!!

Mimi lengo langu ata sio ati aanzishe uhusiano wa kudumu nataka tu kwa umri wke ajichanganye na wasichana apige tu mechi yaishe. Lakin yee hataki kabisa kusikia habari hizo. Nashangaa sna na kwa umri wke hormones ndo zinakua ktk peak lakin yee yko tofauti kabisa. Hivi mwanaume aliekamilika anaeza kukaa na wanawake wazuri halafu asifanye kitu? Au nifanyaje ili na yeye aweze kujichanganya na watoto wa kike?
Unataka mdogo ako awe kitombi..!!!

#YNWA
 
Muda ukifika atafanya hayo yote bila shuruti...
 
Unataka kwa kusema kuwa "kwakuwa mdogo ako ni kijana wa kiume basi atomb* watoto wa watu wa kike Tena wanafunzi"

Usijali, dunia haijawahi bakisha mtu.

Subiri uzae binti yako akasuguliwe umri mdogo uone maumivu wapatayo wazazi wa hao mabinti ambao unataka mdogo ako awagonge wakiwa wanafunzi.

#YNWA
 
Nna mdogo wngu wa kiume ana miaka 19. Handsome ana akili. Watoto wa kike hawaishi kujigonga wanamfata hadi nyumbani kisingizio wanakuja kusoma. Watoto wazurii wanamfata lakin hakuna ata goli kutoka kwa mdogo wngu 🙁

Kuna kipndi nilikua nikimkuta na msichana nawaambia wote kwa pamoja "mnapendeza sna mkiwa couple" nafanya yote hya mdogo apige hatua lakin wapi hamna ktu . Nilishawahi mpk kumwambia msichana mmoja kua mdogo wngu anakupenda ila anaogopa kukwambia. Yule mtoto akamwambia lakn mdogo wangu akamkatalia ati sio kweli mpk yule mtoto akaacha kabisa kuwasilana nae na nyumbani akaacha kuja

Ukiongea nae kuhusu swala ili anakua mkali ananambia kwan we huna maisha yko mpk unafatilia yngu niache na maisha yangu kla kitu kina mda wake!!

Mimi lengo langu ata sio ati aanzishe uhusiano wa kudumu nataka tu kwa umri wke ajichanganye na wasichana apige tu mechi yaishe. Lakin yee hataki kabisa kusikia habari hizo. Nashangaa sna na kwa umri wke hormones ndo zinakua ktk peak lakin yee yko tofauti kabisa. Hivi mwanaume aliekamilika anaeza kukaa na wanawake wazuri halafu asifanye kitu? Au nifanyaje ili na yeye aweze kujichanganya na watoto wa kike?
Siku akimpa mimba msichana je uko tayari kulea au unamwambia ajitomb.ee tu hukuwaza kwa kina?[emoji848][emoji848]
 
Kesi Kama hizo, Tumia TU akili dada angu.

Nakupa mbinu,
Wee mwnyw Kama dada ake jaribu kukaa kihasara hasara kdg Kama unamtega kingono uone atarespond vipi.

(NB: Sio kwa Nia ya kusex nae,
Bali kwa Lengo zuri tu la kumstua hisia zake.)

Ukiona,
Hamna response wasiliana na wazee wamuwaishe hospitali haraka Sana.

Mwanaume alokamilika akiona maungo flani flani hayajakaa mahala pake,
lazma tu adinde hata Kama Ni ndugu mapacha wa kuzaliwa tumbo moja[emoji4]
Ushauri mbayaa huu lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu mtu ana point Ila watu sijui hawamwelewi, dogo inawezekana akawa siyo ridhiki ndiyo wasiwasi wake.
Sasa asipokua ridhki huyo, yeye inamuhusu nn? Khaaah acheni kuingilia maisha ya watu bhana.
 
Back
Top Bottom