Huyu mdogo wangu ananitia mashaka

Huyu mdogo wangu ananitia mashaka

Watu wanajifanya hawaelewi mbaya zaidi kuna siku tulikua tunazungumzia kuhusu kuoa akasema "sitakuja kuoa kwanza I don't believe in love" pia siku nyingine akarepost instastory ya rafiki amempost anacheza nikagundua movements zke hazipo normal lakin sitaki kuamini chochote kibaya kuhusu yeye nataka niamini tu ni makuzi yke ndo yapo ivo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana khaaah.
 
Nna mdogo wngu wa kiume ana miaka 19. Handsome ana akili. Watoto wa kike hawaishi kujigonga wanamfata hadi nyumbani kisingizio wanakuja kusoma. Watoto wazurii wanamfata lakin hakuna ata goli kutoka kwa mdogo wngu 🙁

Kuna kipndi nilikua nikimkuta na msichana nawaambia wote kwa pamoja "mnapendeza sna mkiwa couple" nafanya yote hya mdogo apige hatua lakin wapi hamna ktu . Nilishawahi mpk kumwambia msichana mmoja kua mdogo wngu anakupenda ila anaogopa kukwambia. Yule mtoto akamwambia lakn mdogo wangu akamkatalia ati sio kweli mpk yule mtoto akaacha kabisa kuwasilana nae na nyumbani akaacha kuja

Ukiongea nae kuhusu swala ili anakua mkali ananambia kwan we huna maisha yko mpk unafatilia yngu niache na maisha yangu kla kitu kina mda wake!!

Mimi lengo langu ata sio ati aanzishe uhusiano wa kudumu nataka tu kwa umri wke ajichanganye na wasichana apige tu mechi yaishe. Lakin yee hataki kabisa kusikia habari hizo. Nashangaa sna na kwa umri wke hormones ndo zinakua ktk peak lakin yee yko tofauti kabisa. Hivi mwanaume aliekamilika anaeza kukaa na wanawake wazuri halafu asifanye kitu? Au nifanyaje ili na yeye aweze kujichanganya na watoto wa kike?
Yaani wewe akili zako ni mungu wako ndo anazijua, kama ulikulia mazingira ya choo Cha kusubiliana na makopo mlangoni mwa choo sawa. Nyumba hazina celling board jamaa akipiga mechi wapangaji wote wanasikia. Hivyo watoto waliozaliwa mazingira haya kama wewe huwa shida sana.
 
huyo dogo mazingira ndo yamemuharibu, inaonesha amecheza sana rede na watoto wa kike, pia yaonekana amekuzwa kwenye mazingira ya wadada/ wanawake tupu/na michezo ya kike, kwa staili hiyo lazma awe na tabia za kike.

na kama ana tabia za kike, ikitokea kidume wa kumrubuni ndo basi tena.

mtoto wa kiume anatakiwa alelewe kiume na kucheza michezo ya kiume, pamoja na wanaume wenzake, kama vile mpira ili akae kiume na tabia za kiume.

sasa hapo ni kumwanzishia mazoezi na kazi za kiume, ili akaze kiume na kuchangamana na wanaume wenzake, unapozidi kumletea wanawake ndo anazidi kuchukua tabia zao na kuwa kama hao wanawake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu hapana lol.
 
Dada nimekuelewa vizuri sana lakini nashangaa kuona watanzania wengi wamekuwa wajinga na uelewa mdogo kiasi kwamba jambo dogo kama hili linawashinda kubaini kusudio lako?

Sasa fanya hivi tafuta marafiki zake yeyote kwa jinsia yeyote kwanza halafu waweke karibu kwa kushare nao vitu mbali mbali ili uweze kumpata yupi unaye weza kufanya naye kazi yako ya kipelelezi kumuhusu dogo kwa ushirikiano, nadhan kuanzia hapo unaweza pata pa kuanzia maana huwez pata ushirikiano kupitia yeye mweyewe.
Sasa nikuambie hawezi km ni siri yake hawezi kugundua abadani, unless muhusika aamue kuonesha wazi, akitaka kuzuia kutojulikana hawezi julikana kamwee.
 
Duuuuh comments za watu sasa lol, mie hoiii hapa khaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nna mdogo wngu wa kiume ana miaka 19. Handsome ana akili. Watoto wa kike hawaishi kujigonga wanamfata hadi nyumbani kisingizio wanakuja kusoma. Watoto wazurii wanamfata lakin hakuna ata goli kutoka kwa mdogo wngu 🙁

Kuna kipndi nilikua nikimkuta na msichana nawaambia wote kwa pamoja "mnapendeza sna mkiwa couple" nafanya yote hya mdogo apige hatua lakin wapi hamna ktu . Nilishawahi mpk kumwambia msichana mmoja kua mdogo wngu anakupenda ila anaogopa kukwambia. Yule mtoto akamwambia lakn mdogo wangu akamkatalia ati sio kweli mpk yule mtoto akaacha kabisa kuwasilana nae na nyumbani akaacha kuja

Ukiongea nae kuhusu swala ili anakua mkali ananambia kwan we huna maisha yko mpk unafatilia yngu niache na maisha yangu kla kitu kina mda wake!!

Mimi lengo langu ata sio ati aanzishe uhusiano wa kudumu nataka tu kwa umri wke ajichanganye na wasichana apige tu mechi yaishe. Lakin yee hataki kabisa kusikia habari hizo. Nashangaa sna na kwa umri wke hormones ndo zinakua ktk peak lakin yee yko tofauti kabisa. Hivi mwanaume aliekamilika anaeza kukaa na wanawake wazuri halafu asifanye kitu? Au nifanyaje ili na yeye aweze kujichanganya na watoto wa kike?
Nina uhakika wewe utakuwa Ni mzinifu Sana, ninashangaa Sana na Nina wasiwasi kuwa Wenda hata ukawa mpagani,
Nashangaa Sana kumwambia Mdogo wako aanze uzinzi,
Ila Kama hataki nakushauri kuwa waambie hata wazazi wako wote kwa pamoja mumshauri aanze kuzini.
 
Back
Top Bottom