huyo dogo mazingira ndo yamemuharibu, inaonesha amecheza sana rede na watoto wa kike, pia yaonekana amekuzwa kwenye mazingira ya wadada/ wanawake tupu/na michezo ya kike, kwa staili hiyo lazma awe na tabia za kike.
na kama ana tabia za kike, ikitokea kidume wa kumrubuni ndo basi tena.
mtoto wa kiume anatakiwa alelewe kiume na kucheza michezo ya kiume, pamoja na wanaume wenzake, kama vile mpira ili akae kiume na tabia za kiume.
sasa hapo ni kumwanzishia mazoezi na kazi za kiume, ili akaze kiume na kuchangamana na wanaume wenzake, unapozidi kumletea wanawake ndo anazidi kuchukua tabia zao na kuwa kama hao wanawake.