Huyu mdogo wangu yupo form four, oneni anavyoandika

Upuuzi itakuwa kajifunzia kwa kaka yake ndio maana ana guts za kumuandikia yeye hivyo, mbona sisi hawatuandikii hivyo!!
Tumeshachoka kuamua ugomvi JF juzi kuna mmoja kamtia mwenzake vidole sehemu mbaya sana we imagine anamuingiza mwenzake kidole jichoni
 
Sijaielewa hii message, walimu naombeni mnitafsirie. Huyu dogo yupo kidato cha nne na anategemea kufanya mtihani mwaka huu.


View attachment 3009869
Hapo msamehe tu umri unamfanya aandike hivyo hahusiki mwalimu hapo, mwenyewe dogo mmoja sometimes anaandikaga huu ujinga naonaga uzito kujibu japo kama kitu cha maana lazima nimjibu
 
Mwambie hizo meseji za kiswahili cha mtaani huzitaki na wala hujaelewa...
Hivyo aandike kwa Kiingereza ndio utamuelewa tofauti na hapo ajue hujaelewa chochote!
hapo ni kutaka kumpima pia uelewa wake

Mimi nikipata meseji ya kihivyo huwa najibu tu; sijaelewa, ukiwa tayari kutuma ujumbe wa kueleweka utanijulisha. Huwa hawarudii tena kutuma meseji za kipuuzi
 
Kizazi cha singeli amapiano hiko

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…