Huyu mdogo wangu yupo form four, oneni anavyoandika

Huyu mdogo wangu yupo form four, oneni anavyoandika

Na hapaa unakataa nn nilichokisema? Kwann mtu akosee useme uchokoo, hakuna kingine cha kuhusisha? Lol
Aisee unajistukia bibie wala huwa hatuchukulii serious kiasi hicho.

Enewei jamaa aache uchoko
 
Popote tu, labda huyo mwizi ajistukie kama wewe ulivyofanya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umekimbilia kujistukia, mie sijistukii nimeuliza.
Hivi mtu akikosea utamuambia "we jamaa wizi"? Woiiiiih
 
Ifike mahala waalimu mtupumzishe,..!!
Elimu hupatikana Kwa njia nyingi si Kwa mwalimu tu.
 
Hilo sio tatizo la walimu
Walimu waliotufundisha sisi ndio hao hao wanafundisha wanetu na wadogo zetu! Kama mnavyojua walimu wamebarikiwa kuishi sana, kinachowafanya vijana sikuhizi kuandika ujinga ni ujinga wao binafsi na wengine wanahisi ukiandika hivyo ndo ujanja! Pia watoto wengi wa kizazi hiki hawajitambui! Hawajui kuandika kabisa
 
Back
Top Bottom