Huyu mdogo wangu yupo form four, oneni anavyoandika

Huyu mdogo wangu yupo form four, oneni anavyoandika

Hiyo ni slang ya kichina. Mfano xinhua, xinping, Xinjiang, [emoji23][emoji23][emoji23] Dogo atakuwa ameathirika Sana na kichina atakuwa anakijua mno bila Shaka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wa kiume kidogo wanaandika vizuri kama huyo Philipo.
Wa kike ni balaa, nilipata kadem kamemaliza form 4.

Zile text zake aisee ziliniwia ugumu mno kumuelewa, ilikua inanibudi nipige simu tu maana simuelewi anachoandika.

Hao wanaelewana wao kwa wao, kama sio wa ulimwengu huo huwezi kumuelewa. Mchane mdogo wako aache uchoko kukuandikia maneno kwa vifupi, hiyo ni dharau.
 
Wenyewe wanaita swaga eti. Halafu tukiviambia hatuelewi hiyo lugha vinatuona washamba sana.

Mtu anakuambia “2O8” kumaanisha “tuonane” upuuzi kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wa kiume kidogo wanaandika vizuri kama huyo Philipo.
Wa kike ni balaa, nilipata kadem kamemaliza form 4.

Zile text zake aisee ziliniwia ugumu mno kumuelewa, ilikua inanibudi nipige simu tu maana simuelewi anachoandika.

Hao wanaelewana wao kwa wao, kama sio wa ulimwengu huo huwezi kumuelewa. Mchane mdogo wako aache uchoko kukuandikia maneno kwa vifupi, hiyo ni dharau.
Sasa uchoko umeingiaje hapo jamani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Machoko watakufa wamechoka, khaaah
 
Muandikie msg mwambie marufuku kumtumia msg zenye xxxxxx Kama hawezi kuandika vzr apige vinginevyo atajilaumu
Tena ampige biti sana. Hawa wanafunzi wa siku hizi gesi kweli. Wengi wanaandika kishoga Shiga. Hata humu wamo wengi tu. Neno mpaka,utasikia mbaka. Neno hivi utasikia ivi.
 
Back
Top Bottom