Huyu mdogo wangu yupo form four, oneni anavyoandika

Huyu mdogo wangu yupo form four, oneni anavyoandika

Utoto tu. Nadhani huu uandishi ulichochewa na hizi simu za button keypad miaka ya nyuma kidogo.

Unakuta herufi tatu au nne zipo kwenye button moja kwenye keypad ya simu. Sasa ile ku type moja usubiri sekunde mbili utafute nyingine ndio watu wakabuni njia rahisi ya kutype haraka kwa ku skip na ku substitute baadhi ya herufi katika maneno ndio hiyo sasa ime evolve hivyo hivyo mpaka enzi hizi za smartphone zenye full keyboard.
View attachment 3010277
Sidhani kama simu hizo ndio zilileta shida, make wenye uandishi huu ni hawa vijana wa elf 2000 waliozaliwa kwenye smartphone, hizo button tulitumia wahenga ambao wala hatuandiki huo upuuzi.
 
Sijaielewa hii message, walimu naombeni mnitafsirie. Huyu dogo yupo kidato cha nne na anategemea kufanya mtihani mwaka huu.

View attachment 3009869
Ni hali ya kawaida sana kwa umri wake.
Mwelekeze kwa upole kuwa anapaswa kuandika kwa usahihi. Atakuelewa na kila atakapokuwa anaandika ujumbe wowote atakukumbuka.
Usim-judge kwa kuwa huyo si mkubwa mwenzetu.
Na wenzake wa umri huo wanaandika hivyohivyo.
 
Sidhani kama simu hizo ndio zilileta shida, make wenye uandishi huu ni hawa vijana wa elf 2000 waliozaliwa kwenye smartphone, hizo button tulitumia wahenga ambao wala hatuandiki huo upuuzi.
Trust me hicho ndio chanzo. Ila sasa mara nyingi mtu anapojitambua anaacha ndio maana utakuta wanaoandika hivyo ni hao watoto bado wana utoto.

Naweza kukiri hata mimi zamani miaka ya 2000s nikiwa bado sekondari nilikuwa naandika hivyo.
 
IMG_7907.jpeg
Me mwenyewe hukiandika hivi lazima ukutane na text ya cjakuelewa 😂😂😂
 
Trust me hicho ndio chanzo. Ila sasa mara nyingi mtu anapojitambua anaacha ndio maana utakuta wanaoandika hivyo ni hao watoto bado wana utoto.

Naweza kukiri hata mimi zamani miaka ya 2000s nikiwa bado sekondari nilikuwa naandika hivyo.
Daaah sijawahi kuandika hata kwa bahati mbaya, nachukia sana huo uandishi....
 
Hawa mbona wamo humu pia na wanajifanya wajanja ila wengine hata ajira hawana
We muache aendeleze ujinga
 
Mpeleke tuition...

Cc: Mahondaw
Kizazi cha dot com sio poaa lo! Sasa kuna watu wazima na zivu nyeupe kabisa unakuta wanaandika hivo tena anakua siriazi kabisa.!

Sijibuji huo utumbo kiukweli!
Nikiwarekebisha wananiona nimezeeka😊😁😁
 
Back
Top Bottom