Huyu mdogo wangu yupo form four, oneni anavyoandika

Huyu mdogo wangu yupo form four, oneni anavyoandika

Ukimtumia hela ya tuition atakushukuru "tanteee kaka"
Tatizo sio hizo xx pekeyake, tatizo huyo ndugu yako ni ME halafu analeta mambo za ki slay queen.
Mmeanzaa waja, sijui mkoje hata, lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tena ampige biti sana. Hawa wanafunzi wa siku hizi gesi kweli. Wengi wanaandika kishoga Shiga. Hata humu wamo wengi tu. Neno mpaka,utasikia mbaka. Neno hivi utasikia ivi.
Msipohusisha Mashoga huwa hamuhisi amani kabisaa? Kazi ipoo.
Mnapenda sana kuzungumzia hilo. Khaaaah
 
Msipohusisha Mashoga huwa hamuhisi amani kabisaa? Kazi ipoo.
Mnapenda sana kuzungumzia hilo. Khaaaah
Wewe unakikubali sana hicho kitu? Ushoga unaukubali sana?. Maana mara zote kwenye tred popote palipoandikwa ushoga unakuwa wa kwanza kufika.
Nikuulize leo wewe shoga?. Unaishi ktk ya ushoga kama USA na umegeuziwa huko?. Una kitu gani na hiki kitu?. Niambie
 
Mdogo wangu alianza kuniletea hizi pigo, nikamwambia marufuku iwe mwanzo na mwisho.
Hajawah kurudia
 
Wewe unakikubali sana hicho kitu? Ushoga unaukubali sana?. Maana mara zote kwenye tred popote palipoandikwa ushoga unakuwa wa kwanza kufika.
Nikuulize leo wewe shoga?. Unaishi ktk ya ushoga kama USA na umegeuziwa huko?. Una kitu gani na hiki kitu?. Niambie
Nafikiri haya ulioandika ndo nilipaswa nikuulize wee, ambaye umehusisha ushoga pasipohusika.
 
Wala usimlaumu sana mkuu, ni kizazi Chao hicho, haya ni mabadiliko kutoka kizazi kimoja kwenda kingine.

Kizazi kinachozaliwa sasa ni watoto walio spidi, ndio maana unaona hata hii mitandao ya kijamii(tik tok, youtube) kuna video fupi fupi siku hizi hata miziki ya unakuta verse moja au mbili tofauti na zamani ngoma lazima iwe na verse tatu au nne.

Kubali umezeeka muache dogo ale maisha
 
SIO KILA JAMBO ULIWEKE KATIKA MTANDAO PIA HUO NI UDHAIFU WAKO, IKIWA HUYO NI MDOGO WAKO MREKEBISHE KWA MAANA JUKUMU LA KUMPA MWANAFUNZI ELIMU HUANZIA NYUMBANI , MLEZI ANACHUKUA JUKUMU LA KUMPA ELIMU MTOTO WAKE KABLA YA KWENDA SHULENI, MWALIMU ANA JUKUMU LAKE PIA. HAPO NDIPO WATANZANIA HUFELI KATIKA KUELIMISHA WATOTO NA JAMII HUSIKA.

WEWE KAMA KAKA ANZA KUMREKEBISHA MDOGO WAKO, KWA SABABU NAAMINI KATIKA MTIHANI HATOANDIKA " X " BALI " S " PIA JIFUNZE KUKABILIANA NA MAZINGIRA YA VIJANA HASA KATIKA MABADILIKO YA KIMAISHA YA SASA 2024.
KILA LA KHERI MKUU.

#ROCA FELLA
Kaweka ili wadogo zake wote wengine watakaooba wajue kuwa huo uandishi ni wa kipuuzi
 
Nijistukie mie? Au wao wanaopenda kuutaja na kuzungumzia ndo wanahusudu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Amna bna unajistukia tu, maana hilo neno uchoko ni la kawaida sana mtaani.
Ukifanya ujinga utaambiwa acha uchoko, ila we umechukulia kama tunawananga mashoga.
 
Amna bna unajistukia tu, maana hilo neno uchoko ni la kawaida sana mtaani.
Ukifanya ujinga utaambiwa acha uchoko, ila we umechukulia kama tunawananga mashoga.
Nini maana ya uchoko? Hata huko kimtaani.
 
Back
Top Bottom