Jamii forums ina watunzi wengi wa visa vya kubuni na vingine vya kiuhalisia katika maisha Yao , Ila huyu mwamba
UMUGHAKA ametia fora , sidhan kama kuna member anamzidi Kwa simulizi zake zenye kutisha na kusisimua pia , thread zake zimekuwa zikifatiliwa Kwa ukarbu Sana na member wengi kuliko kawaida , mtiririko wake ni wenye kuvutia , Kias kwamba akianza kusimulia unataman aendelee mpak mwisho...
Huyu jamaa ana kipaji cha uandishi hata kama visa vyake ni vya kweli au vya kutunga ....
Sjui vtuo vikubwa vya televisions eg ITV, TBC, WASAFI TV , STAR TV, CLODS TV , Chanel Ten etc wanakwama wapi kupata script tamu kama hz Kwa ajili ya tamithiliya....
Simulizi Kali kabisa Kwa sasa
Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe
Japo katoa nyingine pia , Uzi unakimbia Kwa speed ya 6G
Salute Sana kwako
UMUGHAKA