Don Vill
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 2,249
- 5,674
Wote yeye na kiazi mwenzake yule wa kujiita mpwayungu village ni makanjanja , hivi huyu Umughaka story zake anamaliza ?, yule pimbi mwenzake anasimulia story halafu hamalizi , kidagaa mmoja yule mpwayungu village you are an idiot , uwe inamaliza story zako ,sio watu tunapoteza muda kusoma utopolo wako halafu unatuacha hewani .Jamii forums ina watunzi wengi wa visa vya kubuni na vingine vya kiuhalisia katika maisha yao, Ila huyu mwamba UMUGHAKA ametia fora, sidhan kama kuna member anamzidi Kwa simulizi zake zenye kutisha na kusisimua pia.
Thread zake zimekuwa zikifatiliwa Kwa ukarbu Sana na member wengi kuliko kawaida, mtiririko wake ni wenye kuvutia kiasi kwamba akianza kusimulia unatamani aendelee mpaka mwisho.
Huyu jamaa ana kipaji cha uandishi haijalishi visa vyake ni vya kweli au vya kutunga.
Sijui vituo vikubwa vya televisions eg ITV, TBC, WASAFI TV, STAR TV, CLODS TV , Chanel Ten etc wanakwama wapi kupata script tamu kama hizi Kwa ajili ya tamithiliya.
Simulizi Kali kabisa Kwa sasa Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe
Japo katoa nyingine pia, Uzi unakimbia Kwa speed ya 6G.
Salute Sana kwako UMUGHAKA
Imeisha iyo