Hakuna shida kwenye boda boda. but kwa jinsi UMUGHAKA anavyopangia story na anavyo elezea matukio anaonekana ni mtu sio wa fuji za boda boda.Boda boda Ina shida Gani?
Huyu jamaa nae mkali sana namkubali.Mimi nampa pongezi san ila kwa vijana basi anastahili sana ila kwa wazee kuna mzee wangu wa kuitwa JBourne59 huyu sitaki kusema hapewe nini ila naomba upitie nyuzi zake humu ndani usipompa heshima yake niko pale.
Hakika , mwanzo kwa kiswahili chake nilijua ni ndugu yetu wa pwani kuja kustuka hata sio wa pwani ila ni huko bara ila kiswahili fasaha anakiwezeaYou nailed it.
Huyu mzee nimemfuatilia toka simulizi yake na mpenzi wake "Hamida"
Mzee anajua kusimulia sanaaaa.
Na anajitahidi kutumia kiswahili fasaha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa...aliamua tu kujishusha..ingawa pia boda haina maana ndio mtu wachini nao ni watu muhimu kwa familia zao na wana thamaniKwa form 6 wanaomaliza siku hizi hata kujieleza hawawezi tena ukute kasoma hizi kayumba.
But Kwa jinsi UMUGHAKA anavyoandika na kupangilia story, sio mtu wa kijiwen atakuwa kaficha ukweli kuhusu yeye na shughuli zake.
Ndugu yangu Umughaka, asante sana kwa unyenyekevu wako.Mkuu Slowly nakushukuru sana kwa kutambua mchango wangu kwenu,mbarikiwe nyote mnaoendelea kutambua mchango wangu katika hii platform pendwa ya Jamii Forum!.
Nimepitia comments zote na nimeona upendo wenu kwangu ulivyo mwingi!,nawashukuru sana ndugu zangu!.
Pengine ninachokipaji ambacho bado sijakielewa kuhusu uandishi,mimi naona naandika kawaida kabisa lakini watu wengi wanasema naandika vizuri!,niwapongeze sana kwa kuliona hilo ndugu zangu,mimi muda mwingi nashinda kijiweni hapa bunju na kazi yangu ni muendesha bodaboda tu!.Sina kazi au kibarua kingine tofauti na hiki ninachokifanya kwasasa!.
Mara zote naandika haya masimulizi kwa kutumia simu yangu ya mkononi niliyonayo mpaka sasa ambayo ni Samsung S9.Hii simu ndiyo kila kitu kwangu kwa kuandika,kupiga na kupokea simu!.Huwa nikiwa nimekaa sina abiria najitahidi kuandika chap,na nikipata abiria nasevu nilipoishia na nikirudi naendelea tena!.
Sababu ya mimi kuendesha bodaboda nadhani nitaieleza kwenye Mkasa wangu unaoendelea wa NILIVYONUSURIKA KIFO BAADA YA MZEE KUNITIMUA NYUMBANI.
Hivyo niwatoe shaka tu ndugu zangu ya kwamba sina kibarua kingine tofauti na hiki cha bodaboda.
Nawapenda sana[emoji120]
Mkuu Criston Cole Mpwayungu nae ni bodaboda kama mimi?,jamaa huwa napitia nyuzi zake nabaki kucheka tu maana huwa ana mambo sana jamaa[emoji23][emoji23]Hisia zangu zaniambia kua ndio Mpwayungu village mzee wa masafari
Mkuu Slowly nakushukuru sana kwa kutambua mchango wangu kwenu,mbarikiwe nyote mnaoendelea kutambua mchango wangu katika hii platform pendwa ya Jamii Forum!.
Nimepitia comments zote na nimeona upendo wenu kwangu ulivyo mwingi!,nawashukuru sana ndugu zangu!.
Pengine ninachokipaji ambacho bado sijakielewa kuhusu uandishi,mimi naona naandika kawaida kabisa lakini watu wengi wanasema naandika vizuri!,niwapongeze sana kwa kuliona hilo ndugu zangu,mimi muda mwingi nashinda kijiweni hapa bunju na kazi yangu ni muendesha bodaboda tu!.Sina kazi au kibarua kingine tofauti na hiki ninachokifanya kwasasa!.
Mara zote naandika haya masimulizi kwa kutumia simu yangu ya mkononi niliyonayo mpaka sasa ambayo ni Samsung S9.Hii simu ndiyo kila kitu kwangu kwa kuandika,kupiga na kupokea simu!.Huwa nikiwa nimekaa sina abiria najitahidi kuandika chap,na nikipata abiria nasevu nilipoishia na nikirudi naendelea tena!.
Sababu ya mimi kuendesha bodaboda nadhani nitaieleza kwenye Mkasa wangu unaoendelea wa NILIVYONUSURIKA KIFO BAADA YA MZEE KUNITIMUA NYUMBANI.
Hivyo niwatoe shaka tu ndugu zangu ya kwamba sina kibarua kingine tofauti na hiki cha bodaboda.
Nawapenda sana[emoji120]
Mi nilianza kusoma mmoja lakini sijamalizaSijasona uzi wake hata mmoja ,ila kwa trend ninayoiona kwenye views , comments na uzi mda wote upo juu huyu mwamba anahitaji pongezi amefanikiwa kuiteka Jf.Natamani siku nipate muda wa kusoma vizuri nyuzi zake zote nishudie yaliyomo.
[emoji122][emoji122][emoji122]Mkuu Slowly nakushukuru sana kwa kutambua mchango wangu kwenu,mbarikiwe nyote mnaoendelea kutambua mchango wangu katika hii platform pendwa ya Jamii Forum!.
Nimepitia comments zote na nimeona upendo wenu kwangu ulivyo mwingi!,nawashukuru sana ndugu zangu!.
Pengine ninachokipaji ambacho bado sijakielewa kuhusu uandishi,mimi naona naandika kawaida kabisa lakini watu wengi wanasema naandika vizuri!,niwapongeze sana kwa kuliona hilo ndugu zangu,mimi muda mwingi nashinda kijiweni hapa bunju na kazi yangu ni muendesha bodaboda tu!.Sina kazi au kibarua kingine tofauti na hiki ninachokifanya kwasasa!.
Mara zote naandika haya masimulizi kwa kutumia simu yangu ya mkononi niliyonayo mpaka sasa ambayo ni Samsung S9.Hii simu ndiyo kila kitu kwangu kwa kuandika,kupiga na kupokea simu!.Huwa nikiwa nimekaa sina abiria najitahidi kuandika chap,na nikipata abiria nasevu nilipoishia na nikirudi naendelea tena!.
Sababu ya mimi kuendesha bodaboda nadhani nitaieleza kwenye Mkasa wangu unaoendelea wa NILIVYONUSURIKA KIFO BAADA YA MZEE KUNITIMUA NYUMBANI.
Hivyo niwatoe shaka tu ndugu zangu ya kwamba sina kibarua kingine tofauti na hiki cha bodaboda.
Nawapenda sana[emoji120]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dushe linasimamaKuna wakati anasimuali uchakataji wa papuchi afu naona mashine yangu inasimama [emoji23][emoji23][emoji23] afu story yenyewe ya kutungwa daaaaa