Huyu member huwaga ananshangaza sana

Huyu member huwaga ananshangaza sana

Na hizi akili zako zilizochanganyika na inferiority complex ndo zinafanya waafrika tuendelee kudharaulika
Kutengeneza, kurusha satellite na vituo vya ardhini ni 2.9 trillion (tsh) Kwa 2, wewe unatàka 30 unazan ni jambo linalowezekana ikiwa hao wanaokupa misaada tu hawana ubavu huo

Kusema jambo fulan haliwezekan sio inferiority complex
 
Unajua tofauti ya LPG n LNG
iNaonekana hujui hata yofauti ya hizi gesi

LPG haiunganishwi majumbani inauzwa kwenye mitungi ndo uzi wangu ulipojikita
Bado kichwa ngumu tu. Sawa ngoja tufanye kikao na shemeji yako na dada yako. Wewe dawa yako nikukuweka kwenye chumba chenye giza na kukukabidh vitasa vya kutosha.
 
Kutengeneza, kurusha satellite na vituo vya ardhini ni 2.9 trillion (tsh) Kwa 2, wewe unatàka 30 unazan ni jambo linalowezekana ikiwa hao wanaokupa misaada tu hawana ubavu huo

Kusema jambo fulan haliwezekan sio inferiority complex
Treni umeme ni trilliin zaidi ya 15, bwawa la nyerere zaidi ya trillion 2 ndo sembuse trillion 2 ya satellite

Sio lazima uanzie huku mbali small launch pad kuijenga ni billion 20 mpaka 30 unaanza na satellite za kwenye low orbit overtime unaamia kwenye high orbit
 
Haya twambie,ukiwa Rais utawafanya nini hawo watu...?
 
Treni umeme ni trilliin zaidi ya 15, bwawa la nyerere zaidi ya trillion 2 ndo sembuse trillion 2 ya satellite

Sio lazima uanzie huku mbali small launch pad kuijenga ni billion 20 mpaka 30 unaanza na satellite za kwenye low orbit overtime unaamia kwenye high orbit
naungana na ww, turushe geostationary 2 na low orbit 50 Kwa kuanza
 
Alienda kuniquote mpaka kwenye zile nyuzi za watu wenye mental problem nikamwambia keep it up
Mda mchache mbele anawatuhumu TMA hawana accuracy aisee amenishangaza sana

Kama hatuna satellite sio moja nyingi ni ngumu kwa TMA kuwa na accuracy kwenye weather forecasting

Na watu kama hawa ndo wamejaa kwenye ofisi za umma
Inabidi tu kuwazoea tu hamna namna humu kuna wezo mbalimbali za kufikiri
 
Back
Top Bottom