Huyu Mfalme Charles ana dharau sana au anamaanisha nini?

Awali ya yote Huyu Mfalme akiwa kama kiongozi mkuu na mwenye mamlaka ya kimaamuzi kwenye Jumuiya ya Commonwealth

Tunamtaka Aridhie mchakato wa Kudai Kariba mpya tupate Katiba mpya.

Au, tuondoke kwenye Jumuiya hii tupate Katiba yetu halafu ndio turudi.

Tumechoshwa kulagahiwa na hawa Wanasiasa.

Ni Kwanini nchi zilizomo katika Jumuiya hii hazijatoa "ruksa" kwa Tanzania kupata Katiba mpya? Ikumbukwe Tanzania haiwezi kupata Katiba mpya bila nchi zote kwenye jumuiya kuridhia na kupewa baraka ama saini ya Mfalme Charles!

Je, ni mfalme Chalesi ndie anayetukwamisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…