Huyu Mfalme Charles ana dharau sana au anamaanisha nini?

Huyu Mfalme Charles ana dharau sana au anamaanisha nini?

Balozi na yeye angepokea kwa mkono huo huo dadeki
 
Ni tamaduni tu kila mkono ni sahihi kwa tamaduni Fulani.
Sema tu waafrika tumejihalilisha kutasfiri mabaya tu
 
Back
Top Bottom