Huyu Mfalme Charles ana dharau sana au anamaanisha nini?

Huyu Mfalme Charles ana dharau sana au anamaanisha nini?

Awali ya yote Huyu Mfalme akiwa kama kiongozi mkuu na mwenye mamlaka ya kimaamuzi kwenye Jumuiya ya Commonwealth

Tunamtaka Aridhie mchakato wa Kudai Kariba mpya tupate Katiba mpya.

Au, tuondoke kwenye Jumuiya hii tupate Katiba yetu halafu ndio turudi.

Tumechoshwa kulagahiwa na hawa Wanasiasa.

Ni Kwanini nchi zilizomo katika Jumuiya hii hazijatoa "ruksa" kwa Tanzania kupata Katiba mpya? Ikumbukwe Tanzania haiwezi kupata Katiba mpya bila nchi zote kwenye jumuiya kuridhia na kupewa baraka ama saini ya Mfalme Charles!

Je, ni mfalme Chalesi ndie anayetukwamisha?
Duuu, kumbe ndio hivi??
 
Au wewe ndiyo mpumbavu. Sababu unashindwa kuweka mipaka na kufuata sheria ndogo za maisha.

Let me guess, mwanao wa kiume ana boyfriend. Au naongopa? Sababu kutokana na reasoning yako, aliyesamaga wanaume hawawezi kuoana ni mpumbavu mkubwa kuwahi kutokea duniani?

Au siyo hivyo, Mrs Lastdream.
sasa kwani nani alikuambia nina mtoto?
KWahyo mama yako alivyotombw katikati ya tundu la choo akakutoa unafikiri kila mtu ni hivyo?
Jibu hoja mtoto wa kahab wewe
 
Hizi jumuiya za kikanda ndo zinazotuletea huu uzombi tunaoupitia......

jazia nyama
Katika hoja moja wapo ya kwanini kuna uhitaji wa kupata Katiba mpya, ni Uzee wake, yaani "Ni ya zamani na haikidhi matakwa yasasa ya Nchi-

Kwanini isiwe kwa Jumuya ya Madola?

Kwani kikubwa zaidi ndani ya Jumuiya hii ni kupata sauti na Ushwaishi wa "Wazungu" kwenye majukwaa ya Kimataifa- Walakin

Tunalimwa kila siku, kwenye mahakama za Kimataifa za Usuluhishi wa kibiashara-na wote hawa ni wale Wazungu walio kuwa ndani ya himaya za Jumuiya hii ya madola, mfano Australia na Canada.
Ukifuatilia kwa undani hawa wapo chini ya Himaya za Ufalme wa Uingereza, na mfalme wake ni Mkuu wa Jumuiya hii- sasa huo ushawishi na kutongezea nguvu na sauti huko tupate haki zetu sawa ni vipi?

Uwepo wetu ndani ya Jumuiya hii unatusaidia nini iwapo wanaotunyonga ni hawa hawa tunaowapa ridhaa zetu?
 
Kabisa hawa jamaa wanaishi hovyo kabisa hawaelewani angalia jinsi princess Diana alivyofanyiwa na hii familia, halafu sasa prince Harry inebidi akimbilie Marekani. Prince Philip mme wa Elizabeth II (baba wa mfalme Charles III) alikuwa katili na mwenye dharau na ubaguzi mkubwa wa rangi. Hata malkia Elizabeth II aliishi naye kwa uvumilivu mkubwa!
 
Mbele ya mzungu mtu mweusi ni takataka tu. Hawa wazungu hata wajifanye kuwa liberal na "woke" vipi lakini deep down wanaamini kuwa mtu mweusi ni "nyani" tu anayestahili kutupiwa maganda ya ndizi! 🚮🚮🚮
 
Awali ya yote Huyu Mfalme akiwa kama kiongozi mkuu na mwenye mamlaka ya kimaamuzi kwenye Jumuiya ya Commonwealth

Tunamtaka Aridhie mchakato wa Kudai Kariba mpya tupate Katiba mpya.

Au, tuondoke kwenye Jumuiya hii tupate Katiba yetu halafu ndio turudi.

Tumechoshwa kulagahiwa na hawa Wanasiasa.

Ni Kwanini nchi zilizomo katika Jumuiya hii hazijatoa "ruksa" kwa Tanzania kupata Katiba mpya? Ikumbukwe Tanzania haiwezi kupata Katiba mpya bila nchi zote kwenye jumuiya kuridhia na kupewa baraka ama saini ya Mfalme Charles!

Je, ni mfalme Chalesi ndie anayetukwamisha?
Mnapataga wapi Pumba hizi?. Hakuna nchi inayoizuia Tanzania tusipate katiba mpya. Ni wanasiasa wenu tu hawa wa ccm ndio wanaoizuia katiba mpya. Hakuna mtu mwingine kutoka nje anaezuia katiba mpya
 
Katika hoja moja wapo ya kwanini kuna uhitaji wa kupata Katiba mpya, ni Uzee wake, yaani "Ni ya zamani na haikidhi matakwa yasasa ya Nchi-

Kwanini isiwe kwa Jumuya ya Madola?

Kwani kikubwa zaidi ndani ya Jumuiya hii ni kupata sauti na Ushwaishi wa "Wazungu" kwenye majukwaa ya Kimataifa- Walakin

Tunalimwa kila siku, kwenye mahakama za Kimataifa za Usuluhishi wa kibiashara-na wote hawa ni wale Wazungu walio kuwa ndani ya himaya za Jumuiya hii ya madola, mfano Australia na Canada.
Ukifuatilia kwa undani hawa wapo chini ya Himaya za Ufalme wa Uingereza, na mfalme wake ni Mkuu wa Jumuiya hii- sasa huo ushawishi na kutongezea nguvu na sauti huko tupate haki zetu sawa ni vipi?

Uwepo wetu ndani ya Jumuiya hii unatusaidia nini iwapo wanaotunyonga ni hawa hawa tunaowapa ridhaa zetu?
Ndugu yangu.
Hizi jumuiya za kikanda ni kudhihirisha unyonge wetu. Yaani watutawale, watuibie kisha wanatutawala kwa namna hii ya kuundiwa jumuiya....

Umaskini wetu usitufanye kuwa wajinga kiasi cha kutoelewa haya yanayoendelea. Uingereza imejitooa EU kwa sababu wananchi walishirikishwa kikamilifu kwenye maamuzi ya kujiunga ama kujitoa jumuia za kikanda. Sisi tunaingizwa kama mizigo
 
Hawa majamaa tangu wakusanye maraisi wetu Kwenye basi kuwapeleka msibani Sina hamu nao kbsa.
Wanatuonaga sisi waAfrica Kama ndugu zao na kina tumbili.
 
Back
Top Bottom