Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si unajua hawa ni Freemasons so kila kitu wanachofanya kina Maanisha kitu Fulani, secret codesKwa hiyo wakivaa hayo kama panzi ndo wanajiona wajanja yani..
Wapuuzi sana hao.Si unajua hawa ni Freemasons so kila kitu wanachofanya kina Maanisha kitu Fulani, secret codes
Hakuna mkono ambao sio sahihi.mambo mengine ni ujinga tu wakiafrika.Kuna jamii zilishatoka uko kwenye mambo yakubagua mikono ambayo tunazaliwa tunaikuta.Vipi akikutana na Biden huwa anampa salam au kitu kwa mkono huo huo au?
Maana sisi watu tunaotumia maleft sometimes hujisahau sana kuwa tunatumia mkono ambao sio sahihi kwenye jamii. So mtu mungine akiona hivyo atahisi umemdharau.
taja wewe,Hao wote umekosea.
Sasa hivi tunasema ni mtu na mwenza wake.Huwezi ukawa Uingereza,mkeo yupo Tz halafu mnakua na watoto.Hao ni wenza.Ni mtu na mtuwe, mke na mume.
Ila hapa katikati kuna uzushi kwamba kuna mtu alijimilikisha kwa mtutuDuuh kumbe jamaa ndio anamiliki Ile Mali? Hongera zake.
Kwahiyo mmoja anaishi idodomya mwingine kaenda kuomba hifadhi kwa beberu?🤣🤣🤣Ni mgonjwa SI ulisikia ana cancer?
Hivi Mbelwa Kairuki na Angel Kairuki ni ndugu?
Aliacha na chata🤣🤣Ila hapa katikati kuna uzushi kwamba kuna mtu alijimilikisha kwa mtutu
Sitaji.taja wewe,
Kabla ya hapo alikuwa Japan huko mashariki ya mbali.Kwahiyo mmoja anaishi idodomya mwingine kaenda kuomba hifadhi kwa beberu?🤣🤣🤣
Umeona ee,sijui kitu Gani kileKoti baya kishenzi.
Umemcheck mwenyewe! Zaidi anahitaji maombi!Afu yupo mwishoni Kabisa kipumzi...wa nini sasa?
Ajitahidi asiwe na dharau, siyo unaning'iniza vitu vya ovyo mwilini alafu unaliiinga!Tara
sema taratibu shekhe yule kijana dimondi akiliona tu tumekwisha yani
Siyo watu wote wenye imani kuwa mkono wa kushoto ni wa msalani. Hii imani nadhani iko zaidi kwa waswahili.Kono la msarani..!
Amekwisha watafuna sana mbona ,mana ameishi maisha ya Kifalme angali tumboni mwa Mama yake,Then kuhusu kupokea hati kwa shoto,Mimi vyeti nilivyopikea kwenye Graduations zote nimepokea kwa Shoto, then kulia nika shake hands na aliyenikabidhi.Ufalme wa uzeeeni hata hainjoi maisha madem na wanawake anawala kwa macho
Eti Mafilimasoni!Umeona ee,sijui kitu Gani kile
😆😆Eti Mafilimasoni!
Hakika daahUmemcheck mwenyewe! Zaidi anahitaji maombi!